kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,644 Reaction score 19,039 Nov 29, 2013 #41 farkhina said: Kumbe hiyo ndio kande? Ni mchanganyiko wa nini? Click to expand... mahindi na maharagwe....
farkhina said: Kumbe hiyo ndio kande? Ni mchanganyiko wa nini? Click to expand... mahindi na maharagwe....
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Nov 29, 2013 #42 Baba V said: Unaishi wapi...!? Click to expand... Duniani....
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Nov 29, 2013 #43 Honey Faith said: Ndo chakula nilikuwa napenda wakati nipo shule yani nachanganya na blue band,butter,sukari,parachichi na ndizi ndo nakula Click to expand... Kwamara ya kwanza ndo nimefika shule kuona huo mchanganyo nilikuwa nawashangaa ila baadae nami nikazoea...ah kande na parachichi tamu sana
Honey Faith said: Ndo chakula nilikuwa napenda wakati nipo shule yani nachanganya na blue band,butter,sukari,parachichi na ndizi ndo nakula Click to expand... Kwamara ya kwanza ndo nimefika shule kuona huo mchanganyo nilikuwa nawashangaa ila baadae nami nikazoea...ah kande na parachichi tamu sana
Capitano JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 1,959 Reaction score 1,635 Nov 30, 2013 #44 Ndikwega said: Enzi za 2000 Kigonsera Sec.School hiyo a.k.a CAIGO,pamoja ndugu zangu. Click to expand... Weeee kijana mbona unaniamsha usiku wote huu kwa kutaja kwako Caigo. Enzi zetu miaka ya 80 hakukuwa na hiyo kitu. Sana sana mihogo pale geza
Ndikwega said: Enzi za 2000 Kigonsera Sec.School hiyo a.k.a CAIGO,pamoja ndugu zangu. Click to expand... Weeee kijana mbona unaniamsha usiku wote huu kwa kutaja kwako Caigo. Enzi zetu miaka ya 80 hakukuwa na hiyo kitu. Sana sana mihogo pale geza
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,108 Reaction score 34,934 Nov 30, 2013 #45 Baba V said: Unaishi wapi...!? Click to expand... Mkuu Baba V kwani unataka aishi wapi bibie farkhina?_ farkhina said: Duniani.... Click to expand... Inaonyesha Baba V anakutongoza nini? nitamtandika makonzi. Baba V anataka kunitongozea mdogo wangu.
Baba V said: Unaishi wapi...!? Click to expand... Mkuu Baba V kwani unataka aishi wapi bibie farkhina?_ farkhina said: Duniani.... Click to expand... Inaonyesha Baba V anakutongoza nini? nitamtandika makonzi. Baba V anataka kunitongozea mdogo wangu.
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,579 Reaction score 3,270 Nov 30, 2013 #46 B'REAL said: hii lazima itakuwa boding skul dah kande lilale afu asubui ulishushie na uji dah wee acha tu Click to expand... mkuu hiyo ndo ilikuwa style yangu
B'REAL said: hii lazima itakuwa boding skul dah kande lilale afu asubui ulishushie na uji dah wee acha tu Click to expand... mkuu hiyo ndo ilikuwa style yangu
makoye78 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 672 Reaction score 229 Nov 30, 2013 #47 NAPITA said: Vitu kama hivi shuleni vilikuwa havikosi mafuta ya taa kwa mabali....!!! Click to expand... Nasikia hiyo makitu ilikuwa inawekwa kupunguza mihemuko ya ngono ili tuweze kupiga shule vizuri, sijui ni kweli? Ngoja waje wajuaji......!
NAPITA said: Vitu kama hivi shuleni vilikuwa havikosi mafuta ya taa kwa mabali....!!! Click to expand... Nasikia hiyo makitu ilikuwa inawekwa kupunguza mihemuko ya ngono ili tuweze kupiga shule vizuri, sijui ni kweli? Ngoja waje wajuaji......!
P phill JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,364 Reaction score 621 Nov 30, 2013 #48 hii picha ni kibaha sec Hapo kama sijakosea mkuu donlucchese,walikuwa wanaweka Mafuta ya taaa kukata libido
hii picha ni kibaha sec Hapo kama sijakosea mkuu donlucchese,walikuwa wanaweka Mafuta ya taaa kukata libido
Xuma JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 683 Reaction score 196 Nov 30, 2013 #49 hapo kama Ifunda Technical jikoni wadau!!