Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,753
- 16,743
Kuongea ukweli ni kumdisrespect??Ila mimi binafsi Mkuu Paskali namkubali sana kama mapungufu kidogo tumsamehe ni mwenzetu humu pia ni legend plz pay some respee mkuu
Kuongea ukweli ni kumdisrespect??Ila mimi binafsi Mkuu Paskali namkubali sana kama mapungufu kidogo tumsamehe ni mwenzetu humu pia ni legend plz pay some respee mkuu
Buku7 mnajigonga naoPongezi kwake na Uongozi mzima wa JF, pamoja na members wote kwa michango yenu humu jukwaani, uwepo wa members ndio msingi wa kufanikisha jambo hili.
We katembele bunge mzeeAmeandika ugoro mtupu
Unataka kutuaminisha hili pia ni bandiko la kumchoma.Pascal Mayalla, pBinafsi nakuelewa sana kwa kipawa chako na uchambuzi mzuri.
Sitakuwa mnafiki, nimetokea kukudharau sana kwenye kumchoma Eric Kabendera. Kwanini lakini?
Anyways, life is like that.
Mayala... kausoma mchezo akapiga u-turn ...Kuongea ukweli ni kumdisrespect??
Haha mkuu kwani hujui kuwa JF ni site ambayo inategemea members wake katika kuhabarisha watu??Buku7 mnajigonga nao
Ova
Njaa mbaya sana amini hiki kwanzaMayala... kausoma mchezo akapiga u-turn ...
Ila ni mzuri ....sema ...
Aliye ona ninancho kiona ebu aseme ukweli hapa, maana kidogo naona mkuu amepata mshtuko kwambaaaaali....tehView attachment 1267546
Jamaa yetu Max leo anatambuliwa na ulimwengu kutokana na uthubutu wa kutumia kipawa chake kuweka msimamo thabiti wa kuwepo kwa uhuru wa kupashana habari. Wakati watu wengine waliopewa nafasi wamechachamaa kujimwambafy na kujitutumua na madegree yao kibao waliyoyaweka kabatini kubebembeleza panya. Heshima kwako bro Melo.
Unajua wanamhusisha na ishu ya kabendera kisa aliwah uleta uzi humu wa mabeberu...na mwandishi alikua kabendera..bas wanamnanga kaka wa watu!..alipandisha juu gazrti alilokua analoandikia kabendera..binafsi mie Paskal namwelewa!hayuko huko ..sema wengi hawasomi btn lines!Ila mimi binafsi Mkuu Paskali namkubali sana kama mapungufu kidogo tumsamehe ni mwenzetu humu pia ni legend plz pay some respee mkuu
Unamuonea Kaka yanguKuongea ukweli ni kumdisrespect??