Mkuu Maxence Melo wa JamiiForums, kesho anapokea tuzo ya CPJ Jijini New York, USA. Wenzetu huko tuonyeshe mshikamano na Ushirikiano

wazunguwawili

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2019
Messages
1,020
Points
2,000

wazunguwawili

JF-Expert Member
Joined May 29, 2019
1,020 2,000
Pascal Mayalla, pBinafsi nakuelewa sana kwa kipawa chako na uchambuzi mzuri.

Sitakuwa mnafiki, nimetokea kukudharau sana kwenye kumchoma Eric Kabendera. Kwanini lakini?

Anyways, life is like that.
Unataka kutuaminisha hili pia ni bandiko la kumchoma.
 
Mhusika mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
303
Points
250

Mhusika mkuu

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
303 250
Jamaa yetu Max leo anatambuliwa na ulimwengu kutokana na uthubutu wa kutumia kipawa chake kuweka msimamo thabiti wa kuwepo kwa uhuru wa kupashana habari. Wakati watu wengine waliopewa nafasi wamechachamaa kujimwambafy na kujitutumua na madegree yao kibao waliyoyaweka kabatini kubebembeleza panya. Heshima kwako bro Melo.
 
Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,766
Points
2,000

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,766 2,000
Pascal Mayalla
Jamaa yetu Max leo anatambuliwa na ulimwengu kutokana na uthubutu wa kutumia kipawa chake kuweka msimamo thabiti wa kuwepo kwa uhuru wa kupashana habari. Wakati watu wengine waliopewa nafasi wamechachamaa kujimwambafy na kujitutumua na madegree yao kibao waliyoyaweka kabatini kubebembeleza panya. Heshima kwako bro Melo.
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
22,620
Points
2,000

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
22,620 2,000
Ila mimi binafsi Mkuu Paskali namkubali sana kama mapungufu kidogo tumsamehe ni mwenzetu humu pia ni legend plz pay some respee mkuu
Unajua wanamhusisha na ishu ya kabendera kisa aliwah uleta uzi humu wa mabeberu...na mwandishi alikua kabendera..bas wanamnanga kaka wa watu!..alipandisha juu gazrti alilokua analoandikia kabendera..binafsi mie Paskal namwelewa!hayuko huko ..sema wengi hawasomi btn lines!
 
Forum statistics

Threads 1,391,327
Members 528,392
Posts 34,078,279
Top