Mkuu Maxence Melo wa JamiiForums, kesho anapokea tuzo ya CPJ Jijini New York, USA. Wenzetu huko tuonyeshe mshikamano na Ushirikiano

Jamaa yetu Max leo anatambuliwa na ulimwengu kutokana na uthubutu wa kutumia kipawa chake kuweka msimamo thabiti wa kuwepo kwa uhuru wa kupashana habari. Wakati watu wengine waliopewa nafasi wamechachamaa kujimwambafy na kujitutumua na madegree yao kibao waliyoyaweka kabatini kubebembeleza panya. Heshima kwako bro Melo.
 
Buku7 mnajigonga nao

Ova
Haha mkuu kwani hujui kuwa JF ni site ambayo inategemea members wake katika kuhabarisha watu??

Soma pale chini wanavyojitambulisha,

WHO WE ARE;

......"JF is a user generated content".....

so members wote ni muhimu mno.
 
Pascal Mayalla
Jamaa yetu Max leo anatambuliwa na ulimwengu kutokana na uthubutu wa kutumia kipawa chake kuweka msimamo thabiti wa kuwepo kwa uhuru wa kupashana habari. Wakati watu wengine waliopewa nafasi wamechachamaa kujimwambafy na kujitutumua na madegree yao kibao waliyoyaweka kabatini kubebembeleza panya. Heshima kwako bro Melo.
 
Ila mimi binafsi Mkuu Paskali namkubali sana kama mapungufu kidogo tumsamehe ni mwenzetu humu pia ni legend plz pay some respee mkuu
Unajua wanamhusisha na ishu ya kabendera kisa aliwah uleta uzi humu wa mabeberu...na mwandishi alikua kabendera..bas wanamnanga kaka wa watu!..alipandisha juu gazrti alilokua analoandikia kabendera..binafsi mie Paskal namwelewa!hayuko huko ..sema wengi hawasomi btn lines!
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom