hahahaaaaaaaa umekosea mkuu mimi ni wakizazi cha benja,anaweza kuwa life is shortHuyu ni bysange
Mie mgeni kwenye haya mambo,hivi ukiniambia hivyo najibuje?
i wish angekuwa OLESAIDIMU na ubunge angepata arusha
Unaivaa hiyo. Inakuwa jibu limetosha.Mie mgeni kwenye haya mambo,hivi ukiniambia hivyo najibuje?