Mkute Zinduna mwenyewe niko hivi

Mkute Zinduna mwenyewe niko hivi

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
1628645_1237747_10201846450104388_1613973822_n_jpeg8d15c4e8b664e350caa6c0ef31c24ded


Sijui kama mngenishobokea.
 
Kuna Shida gani hapo ?

Binafsi naona amekamilika kila department..., ukizingatia kila mtu ana flavor zake.., watu wote wangekuwa sawa kama mikate au vifaranga vya kuku isingeleta radha hata kidogo
 
...yaah taarab material...!

Ndiyo mwenyewe baada ya Kupiemiana unapanga tukutane halafu unanikuta nimetulia na gobore langu la The Kick

Najua tu utatoka balu
 
Mdomo unasadifu yaliomo kumbe yamo........Mashalahh umejaliwa kumbe hiyo picha ya laptop ulikuwa bado chini ya miaka 18?
 
Mbona yupo poa tu jamani. Anafaa kwa matumizi ya binadamu lol
 
Aisee huyo dada ana tatizo gani? Mlioumbwa asubuhi mna raha kweli....lakini isiwe sababu ya kudharau wenzenu loh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom