mkutano wa wanajamii Business and Economic forum mwishoni mwa mwaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mkutano wa wanajamii Business and Economic forum mwishoni mwa mwaka

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MSEZA MKULU, Dec 8, 2011.

 1. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 4,586
  Trophy Points: 280
  wasalaam ndugu. Mimi ni mwanachama msomaji na mfuatiliaji wa karibusana wa jukwaa hili kuliko majukwaa yote ktk forum hii ingawa sina muda mrefu sana . Sina uhakika kama wapenzi wenzagu wa jukwaa hili lenye kujenga huwa mna utaratibu wa kukutana nakubadilishana mawazo na mbinu za kujikwamua kimaisha, kama ndivyo naomba nipewe taarifa marafiki zangu. Kama hakuna mnaonaje tukatenga siku moja tunapoelekea mwisho wa mwaka kuwa pamoja na kubadilishana mawzo haya ikiwepo kujenga ukaribu zaidi maana wengi tunafaamiana kwa njia ya nicknames.

  Ahsante nawasilisha.
   
 2. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mkuu kama uko Dar unaweza kuomba appointment na wenyeviti wa jukwaa hili via PM. Jamaa wanaitwa malila, LAT, Kanyagio, Maskini Jeuri, Newmzalendo etc. Naamini hawa jamaa watakupa mwanga kwenye uwekezaji, sababu inakuwa shida sana kukutanisha watu wengi kwa wakati mmoja.
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Haya Bwana M-pesa kwa kutupa uwenyekiti wa jukwaa.

  Mi niseme ninacho kijua, kweli huwa tunakutana kwa mazungumzo, mijadala,majumuisho mjini Dar kwa hiari. Kama unaweza kutafuta humu ndani kuna uzi ulitolewa na Kanyagio, ulikuwa ni juu ya Chai day 2011, ni mfano wa majumuiko yetu. Hawa jamaa wa Chai day hukutana kila mwanzo wa mwaka, naamini 2012 watakutana tena. 2011 wamekutana mara tano hivi, hii ni siku ambayo hawanywi kilevi zaidi ya chai.
   
Loading...