Mkutano wa Sugu na Kubenea huko Kyela

Mkutano wa Sugu na Kubenea huko Kyela

Kyela walinifurahisha kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sina shaka na general election!
 
kuna tetesi kwamba ccm imefukuzwa na wananchi huko ipinda leo , mwenye uwezo wa kuthibitisha ailete hapa .
 
Kubenea ana ushujaa gani? Mnafiki mkubwa huyo, aweke makala zake za mwanahalisi tuone anavyojaribu kuwafanya watanzania mazezeta. Hafai kabisa mnadikiuhuyu
pole sana mkuu , kubenea huyoooo !!! anaingia bungeni kupitia ubungo , wewe endelea kula mihogo .
 
Chadema haina rasilimali watu.ina maana hakuna viongozi kiasi cha kumtoa kubenea alie taabani jimboni kwake ubungo mbampeleka kyela kumpigia mtu kampeni.
 
"Number alwayz dont lie"Hayo ni maneno ya Mh.Sugu bungeni wakati akichangia bajeti ya serikali.Hapa nilimwona kidogo ana akili...ila kitendo cha yeye kuamua okota namber yenye jina la Fisadi papa Lowass ndo nikajua kumbe ata ule msemo aliu-copy na yeye akapaste bila kujua una maana gani?.kama alivyookota number ya mke anaye weka makalio wazi sehemu za umma.

Mmmh!!!! Kweli utashi wako umeisha hapo mkuu???
 
mwanyamaki kushinda ubunge wa kyela kwa 70% , CC - Mgirik , masonjo na wachumia tumbo wote ndani na nje ya jf .

ww bwana unaniitia nini huku'' hutaki kuukubali ukweli ila unaukbali uongo..

Huyo mwanyamaki aende tu kuvua samaki kwao ikombe lakn suala la ubunge ataendelea kulisikia kupitia kyela fm.
 
Erythrocyte kama mwanyamaki ataichukua kyela mm ntatembea uchi kutoka dar mpaka matema
 
Duh mafuriko yaligoma?huo umati utadhan ufunguzi wa kampeni za udiwani.
 
Erythrocyte kama mwanyamaki ataichukua kyela mm ntatembea uchi kutoka dar mpaka matema

Kwa mafuriko hayo basi ni heri angegombea udiwani,hayo sio ya kumtoa mtu kama Mwakyembe.
 
Chadema haina rasilimali watu.ina maana hakuna viongozi kiasi cha kumtoa kubenea alie taabani jimboni kwake ubungo mbampeleka kyela kumpigia mtu kampeni.

Humwoni Jk akizunguka na kofuli
 
dr slaa kakacha asubiri atakachosema kubenea sasa hiyo machine kubennea itammaliza slaa maana mwanahalisi kaachiwa wanaomsema EL wawe tayari kuchambuliwa
 
Erythrocyte kama mwanyamaki ataichukua kyela mm ntatembea uchi kutoka dar mpaka matema

Anza kutembea sasa hivi ili itakapofika oktoba uwe umefika ujionee mwenyewe...... Imani yangu ni kwamba wewe ni mwehu.....
 
Duh mafuriko yaligoma?huo umati utadhan ufunguzi wa kampeni za udiwani.

Nenda kamuulize mwakyembe km alikuwa na watu mia moja kwenye mkutano wake uliofanyika ipinda leo...... Yeye hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi.......
 
Back
Top Bottom