Mkutano wa Sugu na Kubenea huko Kyela

Mkutano wa Sugu na Kubenea huko Kyela

Chadema haina rasilimali watu.ina maana hakuna viongozi kiasi cha kumtoa kubenea alie taabani jimboni kwake ubungo mbampeleka kyela kumpigia mtu kampeni.

Ulitaka wakachukue kale kababu kanakokula mihogo kama. Balanced diet???
 
Nina uhakika wana kyela hawawezi kukosea tena!
 
"Number alwayz dont lie"Hayo ni maneno ya Mh.Sugu bungeni wakati akichangia bajeti ya serikali.Hapa nilimwona kidogo ana akili...ila kitendo cha yeye kuamua okota namber yenye jina la Fisadi papa Lowass ndo nikajua kumbe ata ule msemo aliu-copy na yeye akapaste bila kujua una maana gani?.kama alivyookota number ya mke anaye weka makalio wazi sehemu za umma.

Sio vizuri kabisa unachofanya
 
Erythrocyte kama mwanyamaki ataichukua kyela mm ntatembea uchi kutoka dar mpaka matema

ni vizuri kuweka akiba ya maneno , unaweza kuniambia kwanini almanusura mkutano wa mwakyembe uvunjike ipinda ? kwa mara ya kwanza naomba nilishukuru jeshi la polisi kwa kumfichia mtu aibu .
 
Chadema haina rasilimali watu.ina maana hakuna viongozi kiasi cha kumtoa kubenea alie taabani jimboni kwake ubungo mbampeleka kyela kumpigia mtu kampeni.
nani kakudanganya kwamba kubenea yuko taaban ubungo ? kwa taarifa yako masaburi ni mwepesi kuliko pamba ! kubenea atashinda kwa 80%
 
Kubenea ana ushujaa gani? Mnafiki mkubwa huyo, aweke makala zake za mwanahalisi tuone anavyojaribu kuwafanya watanzania mazezeta. Hafai kabisa mnadikiuhuyu
Hivi kuna mtu anamuamini Kubenea.au wapo wawili?
 
Nenda kamuulize mwakyembe km alikuwa na watu mia moja kwenye mkutano wake uliofanyika ipinda leo...... Yeye hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi.......

Mwakyembe ana kura elfu 15 mwezi mmoja uliopita, kwa tumafuriko huto mshauri Mwamanyaki agombee udiwani, kwa hali hiyo kupambana na Mwakyembe bado sana.
 
Hivi nani alikuwa nyuma ya sakata la Kubenea kumwagiwa tindikali.
kuna sheria ya mitandao mkuu , usinitie majaribuni , ila kamanda kubenea anamjua vizuri sana , sasa usije kutuhumu asiyehusika ukamuacha mhusika .
 
Mwakyembe ana kura elfu 15 mwezi mmoja uliopita, kwa tumafuriko huto mshauri Mwamanyaki agombee udiwani, kwa hali hiyo kupambana na Mwakyembe bado sana.
nani atakuamini wewe team mwakyembe ? ulisema mgombea wa UKAWA ni mwakalinga sasa leo mwanyamaki katoka wapi tena ? haya kuihujumu kyela fm kumewasaidia nini ? na je kilichowapata ipinda umekiona ? tunasema na bado !
 
Ukiangalia picha kutoka kila kona ya nchi maccm yamekabwa koo. Angalia jana Tabora na leo Kyela halafu unganisha na zile za Kisarawe kwa Kingwendu. Oktoba 25 mbona inachelewa, naona maccm yameishiwa pumzi hata half time bado haijafika

angalia na Ile ya prof. Jay, pale minute, ndiyo utajua kuwa kumbe ndiyo kimesha element, lowassa AAAAAAAA... juu
 
nani atakuamini wewe team mwakyembe ? ulisema mgombea wa UKAWA ni mwakalinga sasa leo mwanyamaki katoka wapi tena ? haya kuihujumu kyela fm kumewasaidia nini ? na je kilichowapata ipinda umekiona ? tunasema na bado !

Tena afadhari ya Mwakalinga alikuwa ba mtaji wa kura elfu 4 na umaarufu wake angeweza kuwalau kupata nusu ya kura za Mwakyembe,lakin huyo mwingine ndio kabisa.Hatahasumbui, saa 2 asubuhi ushindi peupee.
 
Back
Top Bottom