Mkutano wa Sugu na Kubenea huko Kyela

Mkutano wa Sugu na Kubenea huko Kyela

Nilikuwepo leo Ipinda sikuona haja ya polisi kupiga mabomu ya machozi.
 
hebu funguka zaidi mkuu , nini kilitokea ?

Polisi walitumia mabomu ya machozi kwa ajili ya kutawanya vijana waliokuwa barabarani wakionyesha alama ya vidole viwili wakati mgombea wa CCM mwakyembe na wapambe wake wakielekea eneo la mkutano. Kwa maoni yangu hayo masuala ya kuonyesha alama/ ishara ni ya kawaida sana hasa barabarani ambako ni ruhsa kila mtu kutumia barabara kwa kuwa halikuwa eneo la kampeni.
 
Hakuna kitu hapo, nikiangalia hizo picha naona wamejaa watoto wadogo ambao hawana haki ya kupiga kura. Pia isitoshe watu kujaa kwenye kampeni sio kigezo cha kushinda uchaguzi. Mbona mtaisoma namba mwaka huu. #HapaKaziTu
 
Alianza Said kubenea na hotuba ya ukabila katika jimbo la Kyela, Mkoani Mbeya, kbla ya Edward Lowassa kusema NI ZAMU YA WALUTHERI huko Tabora.
[video=youtube_share;6kwZf1Xfwy8]http://youtu.be/6kwZf1Xfwy8[/video]
 
Mtahangaika sana mwaka huu, Watanzania waliashaamua RAIS ni Lowassa.

Kamwe hamwezi kutubadilisha kwa propoganda hizi nyepesi nyepesi.

Kale malimao tu mzee, ili siku yako iende vema.
 
Mtahangaika sana mwaka huu, Watanzania waliashaamua RAIS ni Lowassa.

Kamwe hamwezi kutubadilisha kwa propoganda hizi nyepesi nyepesi.

Kale malimao tu mzee, ili siku yako iende vema.

Katika hili kura za ukawa zimepungua sana.
Huo ndo ukweli, kumbe ukombozi mnaousema ni wa kikabila na udini. Looooh....... Mmekwisha
 
Ccm mtaji wao mkubwa ni kura za kidini na kikabila
 
Mtahangaika sana mwaka huu, Watanzania waliashaamua RAIS ni Lowassa.

Kamwe hamwezi kutubadilisha kwa propoganda hizi nyepesi nyepesi.

Kale malimao tu mzee, ili siku yako iende vema.

Acha kututukana Watanzania bana. Hatuwezi kuwa na akili za wavuta bangi eti tumchague Fisadi kwenda ikulu.
Watanzania tuna akili timam bana acha kutudharilisha.
Kama wewe unaakili za kifisadi anza kujiandaa kisaikolojia tar 30/10/2015 itakuwa siku ya huzuni kwako.
 
Acha kudaganya hata mimi niko huku Usukumani,viongozi wote wa CCM wilaya na mikoa pamoja na wakuu wa wilaya wanahubiri awamu hii ni zamu ya wasukuma. Sijui Magufuri atakuwa anatulipa mishahara wasukuma tukimchangua?
 
Acha kututukana Watanzania bana. Hatuwezi kuwa na akili za wavuta bangi eti tumchague Fisadi kwenda ikulu.
Watanzania tuna akili timam bana acha kutudharilisha.
Kama wewe unaakili za kifisadi anza kujiandaa kisaikolojia tar 30/10/2015 itakuwa siku ya huzuni kwako.

Huwa sina tabia ya kujibu majina bandia.

Huo ndiyo ukweli hata Mwenyekiti wa CCM anafahamu, Lowassa ndiyo rais wa tano wa Tanzania
 
CCM, ina maana Mlutheri hafai kuongoza ila mkatoliki? Je masai hafai ila mzinza au ummeishiwa hoja.
 
Acha kututukana Watanzania bana. Hatuwezi kuwa na akili za wavuta bangi eti tumchague Fisadi kwenda ikulu.
Watanzania tuna akili timam bana acha kutudharilisha.
Kama wewe unaakili za kifisadi anza kujiandaa kisaikolojia tar 30/10/2015 itakuwa siku ya huzuni kwako.

Mwenye akili nzuri mpaka Leo unabuluzwa na ccm kwenye kila sekta watanzia ni malofa sana ni haki yetu kutukanwa na mkapa tena wewe ni lofa zaidi
 
ccm huwa ni wapuuuzi tu kura udini na ukabila hazitawasaidia mwaka huu lazima mtoke .......mtakuja na kila aina ya propaganda ..mtachoka lowasa hana mda wa kujibishana na wapuuuzii
 
Alianza Said kubenea na hotuba ya ukabila katika jimbo la Kyela, Mkoani Mbeya, kbla ya Edward Lowassa kusema NI ZAMU YA WALUTHERI huko Tabora.
[video=youtube_share;6kwZf1Xfwy8]http://youtu.be/6kwZf1Xfwy8[/video]

Nimeisikiliza hii video clip.

Huu ukabila na ukanda ni wahatari.
Yaani Mwakyembe alikuwa analamika kumpigia kura Mwandosya kwa sababu tu ni kabila moja!!!
Tena Mwakyembe kafanya dhambi kupigia kura Mmakonde wa ukanda wa Mtwara badala ya Mnyakyusa mwenzie.

Hata Tuseme vipi..hata kwa mahaba gani ya kwa chama. Hii ni hatari sana. Tena sana.
 
mlianza Ukaskazini+ Mmasai+ Fisadi +Mgonjwa+ Mroho wa madaraka + Leo Mdini .......ila tunasema hata awe mchawi kura zetu malofa zitaenda kwa Lowasa na Ukawa....
 
Watu wengi bado ni mashabiki wa siasa. Wachache wanaona halihalisi na si wengi ambao ni wanasiasa.

Unayefanya kazi ya kuonyesha Mwakyembe hafai na Lowassa anafaa ni mtu ambaye hajui hata kusoma.

Lowassa hata mtoto mdogo akiona picha yake anasema huyu ndo "fisadi?" Sioni hata nafasi yake ya kuwa rais zaidi ya kukusnaya watu wamesikilize.
 
Back
Top Bottom