YAHAYAMOHAMED1970
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 229
- 96
hayo ni maneno ya said kubenea aliyoyaongea mbeya kyera kwenye kampeni. Kwake yeye kulipenda jimbo/wilaya ni kuoa mwanamke anayetoka hapo. Pia kadai mwakyembe hana uchungu na ukanda wa kusini ndo mana hakumsapoti mwandosya 2005. Kwake yeye kuupenda ukanda unaotokea ni kumsapoti mgombea yeyote wa huko. Ama kweli said kubenea watz wanaendelea kukujua uhalisia wako, huo ndo uwezo wako wa kifikiri umefikia hapo. pole sana comrade.