Bukanga
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 2,857
- 1,937
KILICHOJIRI UWANJA WA MCHAGGA MAARUFU KAMA WA SUGU KWA SASA HIZO NI BAADHI YA PICHA ZA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHADEMA/UKAWA. ilipostiwa hapa lakini baadhi ya picha hazikuwa na quality
Alikuwepo Sugu, SAED KUBENEA na wengine wengi pia lilikuwapo zoezi la kurudisha kadi za ccm, na kuhamia CHADEMA. pia kwa ufupi kubenea Alitoa Nyaraka kusemea uongo wa Mwakyembe KWA maneno yake Kubenea, alisema dr. Mpotoshaji sio mimi ni yeye alitamka.... ikafuatiwa na mbunge mtarajiwa kunadi sera zake na vipaumbele vyake kama alivyoviainisha