Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

Divide and Rule........Kigoma ni CCM na ACT - wengine ni kushnei.....................
 
CCM Wakiona Hivi Wanaweweseka hadi Kulegea...Wanajisahau Kwamba Walishatuambia Issue ya Ufisadi na Hatuwaelewi.
 
wale wote watanzania wasinaompiga maneno ya chuki lowassa, wamekosa uzalendo wa nchi ya tanzania......kwani lowassa ana nini? kuwa ukawa ni dhambi......tatizo lenu ccm ni nini kwa lowassa......watanzania wamechoka sana na maisha magumu....watanzania wamehamua wanataka mabadiliko katika mfumo yote.....elimu, afya, katiba mpya ya warioba, mahakama.......tuwe na flight zetu watanzania.........shaka mshaka huu ccm umewashinda ndani ya miaka 50....
 
Kumbe Ukawa hata kwa Ayautalla wameshavuruga nyumba. Kweli ccm inatwangwa pamoja na watoto wake
 
Hamjambo na karibu katika Uzindizi wa Kampeni za Mgombea Urais kwa Mkoa wa Kigoma leo hii.

Kuna maandalizi ya kina kila mtaa hapa Mjini Kigoma wanazungumzia Ujio wa Lowasa na Ukawa.

Karibu

======
Mgombea anatarajiwa kuwasili Mjini Kigoma Majira ya Alasiri akitokea Kijiji cha Kagunga wilaya ya Kigoma na Mkutano huo utafanyika katika uwanja wa Community Center Manispaa ya Kigoma Ujiji.

Pipooooz?

 
Mkuu Moderator na Invisible please unganisha maelezo na Picha zangu hapo juu kwenye uzi
 
Kama kusikia huwezi, na picha huoni??? Mwaka huu kuna watu watahama nchi.


The preaching and talkin' is done;
We've gotta live up, wo now, wo now! -
'Cause the Father's time has come.
Some people put the best outside;
Some people keep the best inside;
Some people can't stand up strong;
Some people won't wait for long.
 
Back
Top Bottom