Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

Kama kusikia huwezi, na picha huoni??? Mwaka huu kuna watu watahama nchi.


Dr.slaa anasema wanasombwa na malori,
Ccm imefanyakazi kila sehemu kwa kusomba watu leo anadai usemi wa ccm ndio umekuwa wake!
Ajabu hela mbaya
 
Attachment no threeee imenimaliza jaman the real smile khaaaaaa kwel lowassa anapendwa jaman
 
Back
Top Bottom