Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

Lowasa unawatesa mno ccm unawapashida sana yaani mpaka wameingia gharama nyingi kukuchafua lakini haija saidia. Kweli lowasa ni mtu wa pekee.
 
Hamjambo na karibu katika Uzindizi wa Kampeni za Mgombea Urais kwa Mkoa wa Kigoma leo hii.

Kuna maandalizi ya kina kila mtaa hapa Mjini Kigoma wanazungumzia Ujio wa Lowasa na Ukawa.

Karibu

======
Mgombea anatarajiwa kuwasili Mjini Kigoma Majira ya Alasiri akitokea Kijiji cha Kagunga wilaya ya Kigoma na Mkutano huo utafanyika katika uwanja wa Community Center Manispaa ya Kigoma Ujiji.

Pipooooz?


Mkuu mbona naambiwa Kagunga hajafika aiseee hadi muda huu Kuna mtu nimempigia simu yuko huko Kagunga!! nasikia kapitia kwanza Kalinzi i think!! Fuatilia utupe update!!
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani **whether he will bring development or not we will choose obama to show the world that America is for everyone.,na sis tunasema,whether he will bring development or not we will choose LOWASSA from UKAWA to show the world that Tanzania is for every one, not 4 ccm only. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyee,,
 
Hii sasa sifa watu wote hawa wa nini ?

attachment.php
 
Lowassa amekimbia mita 40 akiiwahi helcopter pale Katavi , amepunua uzito na amekua fiti kinoma .aibu yao aibu yetu? huu ni mwaka wa shetani kwa gambas
Hiyo ni kweli mkuu vidio yake ninayo .na ile ya songea ambayo wanaCCM walijibu kuwa rais wao ni LOWASA.
 
Shida ni mwaka uliozaliwa. Wenzio tunaoenda kupiga kura mara ya 5 kuna tulichojifunza hapo awali. Japo vichwa vilikuwa vizito, lakini si vizito kiasi cha kutoelewa mara zote 4

Mkuu hii point naomba niichukuwe ni i save mahali, ni ujumbe mzito saana na wa maana.
 
ccm wameshikwa pabaya ndomana nimewahama maana wameanza hila na unafiki. Wanahaha sana kwanjia zote na wizi wote ili wapone na dhoruba la LOWASA
cc
mr chin(muajiriwa rasm ilikumchafua lowasa mitandaoni toka asuhuhi hadi asubuhi)
Teh teh....nimecheka sana! Asubuh to asubuh lol
 
Back
Top Bottom