Mkutano wa Mbeya bloggers, youtubers & affiliators

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Umoja ni nguvu kufanya kitu bila ushirikiano kuna udhaifu mkubwa kuliko faida zake, Kama wewe ni blogger, Youtuber, Affiliate marketer ama unajihusiha kwa itikadi za online money making na upo Mbeya hii inakuhusu.

Nimepata wazo ambalo sidhani kuna mpenda maendeleo atalichukulia vibaya, Siku za wikiendi Jumamosi na Jumapili nimeona itakuwa vizuri kwa Mbeya online money makers tuwe tunakutana na kupeana mawazo na kufundishana maujuzi ya kunoa taaluma zetu za ku make money online,

LINI???? Kuanzia Jumamosi

WAPI??open university (Chuo kipo maghorofani forest), Nimefikiria hili eneo kwa sababu
lipo empty siku za Jumamosi na Jumapili na hakunaga kubugudhiwa na mtu.

SAA NGAPI: Saa kumi hadi saa kumi na mbili na nusu.

KIINGILIO:Uwe na ushahidi unafanya online money making (hii sio sehemu ya kumeza tu inabidi na wewe ucheue mawazo)

Uonapo hii posti tafadhali mjulishe na ndugu/ jamaa / rafiki anaejihusisha na mambo haya, nawatakia siku njema na nina shauku kubwa sana ya kufahamiana na kumwagiana madini with online money makers wa Mbeya this approaching weekend:):):).
 
safi..kweli wewe machozi ya simba na una hasira na dollars..
 
Back
Top Bottom