Huyu walimkataa nini? View attachment 1216833
Kwa umri King Muswati ni mtoto wa Kikwete na mjukuu wa Bill, ila yeye ana wake dazani moja na nusu ndiyo sababu ameshiba.Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mfalme wa Eswatini Muswati pamoja na Bill Gates
wakati wa Mkutano wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani uliofanyika jana mjini New York, Marekani. #KwanzaHabari
View attachment 1216756
Angevaa suti ungesema anaiga utamaduni wa wakoloni!Hili jamaa zoba hata kama ni mila.
Stupid kabisa