Mkutano wa kutokomeza Malaria: King Muswati, Bill Gates and our former President Kikwete

Mbona BW Mkapa nae alialikwa mkutano Wa kutokomeza sumu ulioitishwa kwa kustukiza na JIWE halafu hamkutuambia
 
Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mfalme wa Eswatini Muswati pamoja na Bill Gates
wakati wa Mkutano wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani uliofanyika jana mjini New York, Marekani. #KwanzaHabari

View attachment 1216756
Kwa umri King Muswati ni mtoto wa Kikwete na mjukuu wa Bill, ila yeye ana wake dazani moja na nusu ndiyo sababu ameshiba.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom