Mkutano wa kutokomeza Malaria: King Muswati, Bill Gates and our former President Kikwete

Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
42,994
2,000
Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mfalme wa Eswatini Muswati pamoja na Bill Gates
wakati wa Mkutano wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani uliofanyika jana mjini New York, Marekani. #KwanzaHabari

Jon Stephano

Jon Stephano

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
4,435
2,000
Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mfalme wa Eswatini Muswati pamoja na Bill Gates
wakati wa Mkutano wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani uliofanyika jana mjini New York, Marekani. #KwanzaHabari

View attachment 1216756
Whats wrong with Bill Gates he is getting frail and he is age mate with jakaya.

With all the money he should go under the knife
 
Chakwale

Chakwale

JF-Expert Member
May 17, 2015
863
1,000
Daah Mswati ukimzoom fresh nae ana komwe kama la mtu fudenga bhana..by the way hapo wamekutana wazee wa tootooz sijajua bill nenga tu..

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Tattoo

Tattoo

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,714
2,000
Gates hajanyosha shati pasi... shame on him... anashindwa kununua pasi...

Cc: mahondaw
Stop being too judgemental. Unaonaje shati limejikunja tu na movement za kukaa na kuinuka inuka.
 
Top Bottom