Mkutano wa kutokomeza Malaria: King Muswati, Bill Gates and our former President Kikwete

Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mfalme wa Eswatini Muswati pamoja na Bill Gates
wakati wa Mkutano wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani uliofanyika jana mjini New York, Marekani. #KwanzaHabari

View attachment 1216756
With JK no doubt we can expect a robust participation; anaweza kuflow vizuri sana sio kama kina Njalahh; kwikwi tupu!
 
Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mfalme wa Eswatini Muswati pamoja na Bill Gates
wakati wa Mkutano wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani uliofanyika jana mjini New York, Marekani. #KwanzaHabari

View attachment 1216756
Mungu angemuongoza kikwete mwaka 2015 angefanya marekebisho ya katiba awe rais asie na kikomo,

Uyu baba wa sasa mabuzi yetu yote kayasweka Jela Mweee!!! ,
 
Kulikuwa na mikutano mingi wiki hii huko naviongozi wa mataifa walikuwa wanakutana Rwanda MZEE Kagame Kenya Uhuru walishiriki mambo ya kimaendeleo nilijisikia vibaya kwa Tanzania kuwa kimya
 
Kabudi yuko huko mzee baba.

Back
Top Bottom