Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Jeshi la Polisi hawaoni aibu kutumia neno 'intelligensia? What intellegensia? Huu ni uchovu.
Kwanza nani anahitaji ulinzi wa hawa polisi? Wakae nyumbani waone kama hata mende atakanyagwa.
Hawa polisi ndio tumeambiwa na mkurugenzi mkuu wa NIDA kwamba kiasi cha 700 hivi kwamba wameajiriwa huko kwa vyeti bandia.
Sasa hapa wanaendeleza tabia yao ya kujipendekeza kwa ccm badala ya kusimamia sheria na weledi.