Mkutano wa Dr. Magufuli akiwa Mchinga, Kilwa,Ikwiriri na Mkuranga - Oktoba 13, 2015

Magufuli kila siku zinavyo songa mbele ndio anazidi kushusha nondo kali. viongozi atakao wachagua yeye ni wa kuwa tumikia maskini wa nchi hii kwani wanalipwa mshahara wao kutokana na kodi za maskini hasa wafanyakazi.

ukiwa huwezi sikia hilo, wao kazi kuwapa masikini vijihela ili wajitoe akili na kujipisha deki kwenye barabara za lami zilizojengwa na wanao wananga kuwa miaka 54 hamna chochote walicho kifanya.
 
ccm popote pale nyomi ni kawaida.maana malori husomba watu toka asubuhi tu. ccm kwa maigizo ndo wenyewe..
 
tapatalk_1444644669202.jpeg
001.jpg

CCM inajivunia kundi kubwa la wanachama na washabiki wa aina zote
 
Nilikuwa naskia tu kwamba mikutano ya ccm watu wanasombwa kutoka maeneo mbalimbali bilakujali niwa eneo husika ama la.

Jana nilibahatika kujionea hii hali kwamacho yangu. UDA zilikuwa maeneo ya Muholo, Nyamwage, Utete, Mloka nk, zikitafuta watu wakuja mkutanoni. Sasa nilichojiuliza kama nikweli mkutano ulilenga watu wa Mkuranga iweje watu wasombwe kutoka huko pembezoni mwa wilaya ya Lufiji nakwingine? Inamaana Mkuranga haina wananchi wakutosha kuhudhuria huo mkutano?

Hali ya Ccm mwaka huu nitete sana. Kwahali ilivyo hawana namna tena. Wajiandae tu kukabidhi nchi kwa amani kama alivofanya G.Jonathan huko Nigeria bila kumwaga hata chembe ya damu yaraia wake.
 
Finland ni nchi pekee iliyoendela na inategemea uvuvi wa baharini pekee. Tanzania ni kati ya nchi chache duniani zenye mwambao mrefu wa bahari na rafiki kwa mazalia ya samaki na uvuvi.

Tukidhibiti uvuvi wa baharini katika vina virefu inatosha kuendesha serikali kama nchi ya Finland.
 
Hataweza kupitia Ccm inaviongozi hatari kwa maendeleo ya Tanzania wameichia Tanzanite sembuse samaki
 
Usanii mtupu. Miaka 50 yote mlikuwa wapi? Afu eneo la kijiografia la finland ni kilometa ngapi za mraba kulinganisha na Tz.
 
Wakiendela kutawala magamba watu wa pwani tutaishia kula dagaa mchele na vichwa vya samaki kama walivyowafanyia watu wa kanda ya ziwa.
 
Hivi Lowassa ameshaongelea kubadilisha mfumo wa utawala wa CDM ama kwake ulivyo hauna shida?
 
Mr.chin umekomaa kutoa nyuzi tofautitofauti humu. Nimegundua wewe ni mtu muongo sana tena sana! mm siwezi kukusikiliza kamwe
 
Mchana kwenye mkutano ccm kuchukua pesa jioni ukawa kupanga mustakbali wa nchi yetu enough is enough.
 
Huyu ni Rais wa kubong'oka
 

Attachments

  • 1444821128360.jpg
    1444821128360.jpg
    38.2 KB · Views: 180
Picha za maeneo mawili tofauti ukilinganisha na title uliyoweka. Bado kingunge atafagia nyayo zote huko
 
12068940_10207704672764123_3278651635497646500_o.jpg


Tunazunguka mkoa hadi mkoa, wilaya hadi wilaya,kata hadi kata, kijiji hadi kijiji, nyumba hadi nyumba, kitanda hadi kitanda na ikiwezekana hadi uvunguni tutaingia kumwaga sera zetu. Na mgombea wetu anajieleza kwa muda mrefu kuomba kura zenu.
Halafu mseme mmeibiwa kura wakati mko bize kulamba asali...
IKWIRIRI LEO.
HAPA KAZI TU
 
12068940_10207704672764123_3278651635497646500_o.jpg


Tunazunguka mkoa hadi mkoa, wilaya hadi wilaya,kata hadi kata, kijiji hadi kijiji, nyumba hadi nyumba, kitanda hadi kitanda na ikiwezekana hadi uvunguni tutaingia kumwaga sera zetu. Na mgombea wetu anajieleza kwa muda mrefu kuomba kura zenu.
Halafu mseme mmeibiwa kura wakati mko bize kulamba asali...
IKWIRIRI LEO.
HAPA KAZI TU

Debe tupu lina sauti zaidi.
 
Ndugu wana jf habari za mchana. Kuna habari zipo mitandaoni kwamba ndugu John Pombe Magufuli mgombea urais wa ccm kwamba amezomewa vibaya alipokuwa akifanya kampeni zake mkuranga mkoani pwani. Kwa wenye taarifa tunaomba habari rasmi.
 
Back
Top Bottom