Wakuu habari!
Leo unafanyika mkutano wa hadhara wa CHADEMA utakaohutubiwa na dk. Slaa kata ya Ubaruku Mbarali. Na sasa makamanda kutoka maeneo mbalimbali ya wilaya ya Mbarali ndo wanawasili.
Nitatoa dondoo mkutano utakavyokuwa unaendelea.
mmefanya makosa kutoweka picha kamanda!Shule ya msingi Ubaruku na ndio umeisha dk hizi.
Wakuu habari!
Leo unafanyika mkutano wa hadhara wa CHADEMA utakaohutubiwa na dk. Slaa kata ya Ubaruku Mbarali. Na sasa makamanda kutoka maeneo mbalimbali ya wilaya ya Mbarali ndo wanawasili.
Nitatoa dondoo mkutano utakavyokuwa unaendelea.
Wakuu mkutano ndo umeanza na ameanza Mwita Waitara na ss anaongea Dev Silinde na anazungumzia kilichotokea bungeni na jinsi magamba walivyokurupukia katiba mpya na jinsi mchakato ulivyowashinda kwa kuwa haikuwa hoja yao suala la katiba mpya. Soon anafuatia Sugu....huyu jamaa WAITARA nilikuwa namwamini mkuu ila siku 1 niliwahi kumkuta sehemu akiwa na shibuda wanapanga mipango ya kubomoa wenzao wa CHADEMA kwa kweli simwamini tena