Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

-msemaji anasema CDM wameenda omba wagombea CCM.Sijui hajapata habari kinachoendelea UVCCM?CDM waniboa CCM kwa kwenda mbele na si kuzimana.
-kasimama kiongozi mmoja, bila kujijua akisemacho andai watu hawauanza kufa leo,ila kasahau kuwa Mwenyekiti wake Lipumba naye hakuona hilo
 
Haji Duni amepanda jukwaani anasema wamemshtukiza ila siku wakienda Arusha wa mwambie ili akawajibu CDM
 
Huyu jamaa anasema sumae ndio amewafundisha polisi wakati wa rais mkapa aka rais mbabe
 
Sasa CUF wako jangwani na wanawachana wau wa CDM ati hawana hazina ya viongozi kwa hoja kuwa kila mwaka wa uchaguzi ukifika wanaenda kuomba watu wa CCM wagombee kama ilivykuwa kwenye ishu ya kumuomba JK agombee urais kama asingechaguliwa ndani ya CCM.

Pia wanasema CDM wao hawana hazina ya viongozi maana Mwenyekiti wao hana elimu zaidi y kujua elimu ya biashara ya kupiga disko.
Wanasema CDM ni sawa na CUF maana hata kada tajiri wa CCM anawasaidia CDM badala ya CUF.

Kweli CUF bi mkubwa wa CCM maana sijaona mahali walipomsema CCM badala ya kuichana CDM tu!.
 
Aisee CUF kweli wamepoteza mwelekeo.
Wanatumia muda mwingi kuishambulia CDM, na kuiita mtoto wa CCM.
Juma Duni Haji anamzodoa Sumaye,
anasema yeye ndo aliwafundisha Polisi kuua akiwa PM 2001,
leo anajifanya kulalamika nini?
 
Anazungumzia swala la mboe kumiliki disko,,anasema chadema kina mausiano na ccm

Wameishiwa sera hao,mbowe anamiliki disko kitambo kabla vyama vingi avijaanza,wao ndio wanamahusiano na CCM maana walifunga ndoa zanzibar tunasubiri kuona mtoto atakaye zaliwa uko.
 
Hajj Duni anawapa pole watanzania kwa mauji ya Mwangosi, anasema hivyo ni vita vya muda mrefu.

Anaendelea kwa kusema hakuanza kufa muandishi huyo bali walianza kufa CUF kwa makundi.
 
TBC kama TV ya bure, kuna noise katika background kuna matanagzo mengine..
 
Viongozi wakuu wakuu wa CUF wapo jangwani kwa mkutano wa hadhara na wanaishambuliua CHADEMA kuwa nI CCM mtoto,huku wakimshutumu Mh Mbowe kuwa ni mpiga disko,hivi wanatakiwa kuishambulia CDM au CCM?Ni nani aliepo madarakani kati ya CDM na CCM?Nawaomba wadau mfatilie kisha mtoe maoni yenu mtujuze.
 
CCM wameruhusu Tv yao ioneshe matangazo ya Mke wao kipenzi.

Wamekataa wao si CCM B bali CCM B ni chama kinachopata msaada kutoka kwa Sabodo ambae ni mwanachama wa CCM na mwingine akaibuka na issue wao ndio walianza kufa kabla ya mwandishi wa habari, kiufupi hawajajiandaa kama alivyosema gwambali maana degree 4 za uchumi za mwenyekiti wao zinasaidia nini katika kila anaesimama kuongea na wananchi
 
Last edited by a moderator:
Mtatiro anasema watazunguka mikoa 6 ... Hivi tanzania ina mikoa mingapi vile jamani?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom