Mkutano wa CHADEMA ubungo msewe leo

Mkutano wa CHADEMA ubungo msewe leo

Oooouuupsss..... yako wapi yale mapanya yanayodai ati Mnyika Kachokwa huko Ubungo??

Kazi kweli Mnyika twanga hao nyoka wa wa kibisi kichwani wasipate kupumua nyambafu zao

BACK TANGANYIKA

Hilo juu yako Mkuu linalojiita Kimbunga kumbe ni Punga!! Eti linasema Mnyika ana kazi kweli huko Ubungo!
 
watu wameoga na wamependeza namna hiyo na kwa andiko lako umedai wengine wametoroka kazi lakini bado unadai mnyika kazi anayo , una maana gani ?
 
watu wameoga na wamependeza namna hiyo na kwa andiko lako umedai wengine wametoroka kazi lakini bado unadai mnyika kazi anayo , una maana gani ?
hata mi nimevutika kwa ajili nataka kumuona mwanasheria mkuu wa nchi tundu lissu
 
Hivi Mnyika anajua wana ubungo tunaelekea mwezi wa pili sasa hatujaoga kwa kukosa maji?
 
Kweli kwani kutokana na kodi anazokusanya madai yapo sahihi!
kaka mi naamini hata kama yeye sio dawasco kuna kitu anaweza akafanya aitishe maandamano ya kudai maji kuanzia kimara mwisho mpaka manzese huone watu watakavyojitokeza,tunashindwa hata na punda huko kenya jana wameandamana we unadhani yule profesa wa maji bila hivyo atakuelewa
 
mnyika namkubali kwenye ishu za kitaifa ila huwa anajisahau kama kura zake zinatoka ubungo,anakuwa kama mbunge wa taifa vile ,anaangalia maslahi ya watanzania wote wakati nyumbani kunaungua,inabidi abadilike angalia mwenzake nassari kila siku yupo jimboni iwe misiba au harusi ,michezo kazi za jamii yuko na wapiga kura,mbona slaa alitafuta wafadhili karatu wakachimba visima bila msaada wa serikali

Unapotafuta kuna kupata na kukosa je kama mnyika kakosa !!
Pili ivyo visima Ubungo kuna baadhi ya maeneo utavuchimbia wapi ? Barabaran au ?
 
Inaonekana hili joto la Mnyika limewashika wakaamua kuleta maji leo. Mtujuze kinachoendelea sasa maana wengine majukumu yamebana. Makamanda wanatema cheche zipi?
 
Mbunge Mnyika ana kazi kubwa sana huko Ubungo. Barabara, maji na usalama ni utata mtupu jimbo la Ubungo.


Mkuu kwa sisi wa kaazi wa Tabata tunashukuru huu uchaguzi leo barabara za mitaani zimefanyiwa light grading .zinapitika ....hope hata 2015 maji ubungo yatakuwa ni kama ya baharini all time
 
MiCCM jana ilikuwa inakata viuno huku ikijinadi kwamba tukimchagua mgombea wao vijana wote ruksa kuvuta bhangi na kuuza gongo. Yakasema eti mgombeawa Chadema hjaoa kwa hiyo hafai kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Mtaa
 
Operesheni FUTA DELETE CCM NCHI mafanikio yameanza kuonekana.
 
Back
Top Bottom