Mkutano wa CHADEMA ubungo msewe leo

maji maji ndio ishu kosa lake alimuita kikwete daifu so kikwete kaamua kumuonyesha yaani huku watu tunavunda ndoo 1000,

haiondoi ukweli! kikwete ni dhaifu tu! kwani mbona sehemu nyingi za jiji maji ni shida na wao walimwitaje kikwete?
 
ni kazi ya serikali ya ccm, wana kazi kujitetea
kazi ya ccm ni kuiba pesa za umma kama hizo pesa za escrow zingeweza kuchimba visima vya maji mikoa yote tanzania bado ingeisha bado unakuta mtu anaitetea ccm
 
Hivi Mnyika anajua wana ubungo tunaelekea mwezi wa pili sasa hatujaoga kwa kukosa maji?

Wasiokaa Ubungo utawajua tu! Leo maji yametoka na juma lililopita maji yalitoka.

Anyway kete ya uhaba wa maji imewapa advantage CDM. Kama umehudhuri mikutano ya UKAWA Ubungo ambayo Boniface alikuwa anaiongoza ameweza kupanga hoja vizuri na zimeeleweka vizuri.Kuna uwezekano mkubwa UKAWA Kubeba mitaa yote mitano
 
Wasiokaa Ubungo utawajua tu! Leo maji yametoka na juma lililopita maji yalitoka.

Anyway kete ya uhaba wa maji imewapa advantage CDM. Kama umehudhuri mikutano ya UKAWA Ubungo ambayo Boniface alikuwa anaiongoza ameweza kupanga hoja vizuri na zimeeleweka vizuri.Kuna uwezekano mkubwa UKAWA Kubeba mitaa yote mitano

Mimi nakaa riverside hakuna maji kabisa
 
mnyika namkubali kwenye ishu za kitaifa ila huwa anajisahau kama kura zake zinatoka ubungo,anakuwa kama mbunge wa taifa vile ,anaangalia maslahi ya watanzania wote wakati nyumbani kunaungua,inabidi abadilike angalia mwenzake nassari kila siku yupo jimboni iwe misiba au harusi ,michezo kazi za jamii yuko na wapiga kura,mbona slaa alitafuta wafadhili karatu wakachimba visima bila msaada wa serikali
kama wabunge wote wangesimama kwa pamoja wakatatua matatizo ya kitaifa, mambo mengine yote ya kimkoa, wilaya na majimbo yatakuwa solved. Hakutakuwa na mikataba mibovu, escrow, EPA na kuwaleta ikulu watu wenye akili kama ya prof. tezi dume.
 
Mimi nakaa riverside hakuna maji kabisa

Nenda kalalamikie serekali yako ya magamba inayokusanya kodi ...maana magamba wanazuia maji ubungo ili mnyika aonekane hafai...lakini kwa hilo magamba mmeula wa chuya..maana mnyika amelipigia kelele tatozo la maji ubungo. Ila kwa vile magamba yanalitaka jombo la ubungo yanamkwamisha mnyika.
 
Mimi nakaa riverside hakuna maji kabisa

Nenda kalalamikie serekali yako ya magamba inayokusanya kodi ...maana magamba wanazuia maji ubungo ili mnyika aonekane hafai...lakini kwa hilo magamba mmeula wa chuya..maana mnyika amelipigia kelele tatizo la maji ubungo. Ila kwa vile magamba yanalitaka jimbo la ubungo yanamkwamisha mnyika.
 
Maji jamani chonde chonde Mnyika Huku mitaa ya Kinzudi Hali ni mbaya sana utawaonea wananchi wako huruma kabisa jinsi anavyohangaika Usiku kucha.

Katika changamoto kubwa uliyonayo ni maji na kwa hili unakazi ya kujibu, barabara za jimbo la Ubungo ni mbovu sana hakuna cha maana kinachoendelea!
 
ubungo msewe kuna kijamaa kimoja cha ccm kinaitwa jafari, kila mara anachukua uongozi wa serikali ya mtaa, jamaa anapenda rushwa ni balaa, muongo! kuna makada wa ccm akina mama hatia ni wachawi! yaani msewe ni balaa!
 
Back
Top Bottom