Mkutano wa Chadema M4C-Iringa wasitishwa!

Mkutano wa Chadema M4C-Iringa wasitishwa!

Naomba kurudia tena, Chama hakihusiki na madhara yanayotokana na matumizi mabaya ya nguvu za dola yanayofanywa na serikali. Naomba tutumie nguvu za hoja na siyo hoja za nduvu
 
hivi kwanini siku zote kwenye hizi fujo za CDM hakuna kiongozi anae umizwa? Ni wananchi tu ndio utasikia wameumizwa au uwawa. Au ndio ile tabia ya kujificha nyuma ya maspika na kuwatuma watu wakafanye fujo?
 
Naomba kurudia tena, Chama hakihusiki na madhara yanayotokana na matumizi mabaya ya nguvu za dola yanayofanywa na serikali. Naomba tutumie nguvu za hoja na siyo hoja za nduvu
Anza wewe kutumia akili, wao hawana kibali halafu wanahamasisha wananchi wafanye maandamano.
 
Naomba kurudia tena, Chama hakihusiki na madhara yanayotokana na matumizi mabaya ya nguvu za dola yanayofanywa na serikali. Naomba tutumie nguvu za hoja na siyo hoja za nduvu

Mkuu, kumbuka LILA NA FILA HAWATENGAMANI!
 
Well done polisi, msikubali watu wachache wenye uchu wa madaraka kumwaga damu za watanzania kwa mtaji wao wa kisiasa. Hakuna uhuru usio kuwa na mipaka !

matamashi yako ni dhambi na wala si usaliti.jana mauaji yaliyofanyika , pia majeruhi waliopatikana yalifanywana CDM?kuwa na busara acha kuwatukana watanzania, wamevumilia wametosha , hata kwenye mitandao bado mpo?nani kakataza ccm wasifanye mikutano ?wao kuwa na chaguzi ndani ya chama chao ndo chanzo cha kuzuia shughuli za vyama vingine?kama ni sensa mbona jana mkutano wa CDM ulifanyika bila tafrani?ccm waache hila hizi, wananchi wanafahamu kero hizi na watawahukumu.Polisi haipo kuzuia mikutano ya vyma kisheria bali ni matumizi mabaya ya dola na sheria

Wewe ni crazyBrain!

Unataka kutuambia uhuru wa mipaka ni kuzuia maandamano ya CHADEMA lakini maandamano ya CCM ruksa!

Hivi for your tiny and small Brain, unafikiri Watanzania wote ni wapuuzi na wajinga kama wewe? Sahau! Watanzania wanajua wanachokifanya na kwa taarifa yako tu jinsi Policcm wanavyoendelea kuua na kujaribu kuzuia maandamano ya wapinzani hususan CHADEMA ujue tu CCM wanaendelea KUSAFISHA NJIA YA CHADEMA KUINGIA IKULU 2015!

Wewe subiri 2015 utaelewa ninachomaanisha.

chadema waingie ikulu'!?? My foot..acheni ndoto za mchana.
 
hivi kwanini siku zote kwenye hizi fujo za CDM hakuna kiongozi anae umizwa? Ni wananchi tu ndio utasikia wameumizwa au uwawa. Au ndio ile tabia ya kujificha nyuma ya maspika na kuwatuma watu wakafanye fujo?
majebele hakuna mtu anayejificha nyuma wala wapi,hata mie nawashangaa sana hawa polis vibaraka.
 
Naomba kurudia tena, Chama hakihusiki na madhara yanayotokana na matumizi mabaya ya nguvu za dola yanayofanywa na serikali. Naomba tutumie nguvu za hoja na siyo hoja za nduvu
wadanganye magamba wenzako kwani huoni???tunamacho tunaona.
 
chadema waingie ikulu'!?? My foot..acheni ndoto za mchana.

unamkumbuka mandela? ilikowa hivyo hivyo wazungu waliamini wakimfunga hata weza furukuta...pia kumbuka moi alivyomtesa raila odinga aliwekwa kizuizini miaka lakini leo wapi wewe..... hakuna kitu kina pande moja ukiona leo unazo juwa kesho huna au kama zitaendelea kuwepo lakini watakuwepo wanao kuzidi
 
Mida ya saa 7 mchana gari za ffu zilizunguka hapa mjini kuona kuwa mkutano wa CDM uliokuwa ufanyike leo haufanyiki. Sikuona wanachama na wafuasi wa CDM, sijui nini kiliwasibu...
 
Hata KANU waliwahi kusema hivyo leo ni chama cha pili toka mwisho kwa umaarufu na kukubalika

CCM ndo bye bye. Hawa Jamaa bado wanafikiri kuwa Polisi na Jeshi na Usalama wanauwezo wa kuzuia watu wa leo. HAta hao polisi itafika wakati kukataa kutumiwa kama mataahira. GB aangalie umati uliokuwa Morogoro jana pamoja na hujuma za mabomu. watu bado walikuwa wanaenda tu kwenye mkutano. CCM ni sawa na mgonjwa ambae alikuwa atategemea kutengemeaa kiasi fulani but hata kula inafikia mahala hali labda kuonja. NApe huko wapi na mikutano yake. Kilichobakia kwa CCM ni kufanya vikao vya kamati kuu ikulu basi but wananchi ndo bye bye. CCM inaaga hivo no hearing!!!
 
Any way kwa vile kufanya mikutano ni haki ya kidemokrasia, na sababu walizotoa Hazina mashiko ila ni valid kwa siku nne zijazo, Tuone baada ya hapo watakuja na single gani? Ila nadhan Just wanachelewesha muda tu!!
 
Nchi imetulia , na mambo yanaenda kama kawaida including kukusanya kodi yako kwa maendeleo ya nchi, tutasimamia sheria na hatoogopwa mtu. Huu ni utawala wa sheria na sio utawala wakimangi wa CDM

Mr. GeniusBrain you don't reflect your identity rather you seem to posses an extra tiny tiny brain! Ninaamini unajua kiingereza kwa kukusetiri nimetumia lugha hii kama ni other wise better for you. Nchi imetulia wakati mauaji na manyaanyaso yasiyo na sababu kwa wananchi yanatokea huko Morogoro katika harakati za kuleta utawala bora? Kodi inayokusanywa ni kwa ajili ya kuliwa na mafisadi ni dhambi tupu na mtaona. Utawala gani wa sheria usiothubutu kukemea maovu huku ukipingana. Imagine wabunge wanamlaumu Profesa Muhogo halafu hapo hapo Kamati Kuu ya Halmashauri ya CC ya CCM inampongeza!! Kwa nini hawakukemea wakati wanajua fika kinachoendelea pale Tanesco? This is clearly a confused leadership isiyofuata sheria. Failures from left to right and center!! Ijapo wako wengine waliopongezwa, nimemtaja tu huyu profesa kwa kuwa hahesabiki katika upuuzi wenu wa magamba!! Namwonea huruma sana kushirikishwa na magamba yasiyosimamia sheria. Hata hivyo atawaonyesha njia na kwa wengine ninaamini wanajuta ila kwa unafiki wao wanagugumia tu. A luta continua Professor Muhogo Mungu amekuinua show them the way!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hivi kwanini siku zote kwenye hizi fujo za CDM hakuna kiongozi anae umizwa? Ni wananchi tu ndio utasikia wameumizwa au uwawa. Au ndio ile tabia ya kujificha nyuma ya maspika na kuwatuma watu wakafanye fujo?

Hilo swali ungewapelekea polisi, serikali ya magamba
 
Mipaka nikufuata sheria, kwa mauaji ya jana CDM waweke hapa jamvini kibali cha polisi kilicho waruhusu kufanya maandamano, na siku zote wamekuwa wanaandamana kwa kibali, jana kulikoni ? Hii nchi ni ya utawala wa sheria , sio nchi yakuongozwa kihuni huni tu

Wewe huelewi wapenda CDM ni wengi mno lazima ionekane kama ni maandamano si wanatembea? Au ulitaka waruke?
 
Back
Top Bottom