Haya tena hata wakitembea ndani ya nchi yao wanawahofia? kwani msafara una viongozi gani?
dah,[polis wananishangaza sana,sasa waliwataka hao chadema wapae na kujikuta wako ndani ya nyumba.
kweli polis wanaisaidia sana chadema kwenye harakati za ukombozi,
maana hata kama hukuwa na nia ya kufatilia chadema,inabidi tu ufatilie ili ujue hawa chadema kwanini wanapingwa hivi!
Polisi wakisikia makamanda wa Chadema wameingia ktk eria yao basi matumbo jooto,hivi hawa polisi wanashinikizwa au wanajituma wao kuyafanya haya wanayoyafanya?Kwani Chadema wamekosa nini mpaka wazuiwe kuingia ktk ardhi ya nchi yao huko Iringa?
dah,[polis wananishangaza sana,sasa waliwataka hao chadema wapae na kujikuta wako ndani ya nyumba.
kweli polis wanaisaidia sana chadema kwenye harakati za ukombozi,
maana hata kama hukuwa na nia ya kufatilia chadema,inabidi tu ufatilie ili ujue hawa chadema kwanini wanapingwa hivi!
nimejionea kwa macho yangu kupitia itv jioni hii cdm wakiingia iringa na
msafara wa magari 20. Wananchi wamejipanga barabarani bila hata ya kua
mbiwa wafanye hivyo na viongozi wa cdm....polisi walipotaka kuwatawanya
wananchi hao' wananchi waliwajibu polisi kwa sauti kubwa ya people'z power!
Kweli nimeamini chadema ni nouma!....utaki unaacha