Communist
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 5,400
- 1,181
Badilisha jina tumia Kaburu Matata.He he heeeeee ndio wanachama wa CDM hawa ambao ndio wanaitaka nchi hii hata kwa kumwaga damu
Badilisha jina tumia Kaburu Matata.He he heeeeee ndio wanachama wa CDM hawa ambao ndio wanaitaka nchi hii hata kwa kumwaga damu
Mipaka nikufuata sheria, kwa mauaji ya jana CDM waweke hapa jamvini kibali cha polisi kilicho waruhusu kufanya maandamano, na siku zote wamekuwa wanaandamana kwa kibali, jana kulikoni ? Hii nchi ni ya utawala wa sheria , sio nchi yakuongozwa kihuni huni tuMipaka ya chama kimoja? Hata makaburu walikuwa wanadai wana democrasia.
Jana uliambiwa wanakereketwa, kule pemba wanajua jinsi ya kuwalisha.kikwete ni total failure, amebakiza majungu na vitisho tu kusubiri muda wake wa kufungasha virago kutoka magogoni. na nyie wapambe nuksi sijuwi mtakula wapi kuanzia october 2015.
Alama za mtu mnafiki ni tatu. 1, anapo aminiwa hufanywa hiana, 2. Anapo ahidi hushindwa kutimiza ahadi, 3. Na anapo ongea husema uwongo. Hizi sifa zote CDM wanazo
Geniusbrain ndio jina murua , na lipo humu jamvini kuwaelimisha watu wote including ww mkuuBadilisha jina tumia Kaburu Matata.
Kwa hiyo kichaa mmoja akiamua kwamba hakuna maandamano bila kuzingatia matakwa ya sheria inakuwa sheria halali?Mipaka nikufuata sheria, kwa mauaji ya jana CDM waweke hapa jamvini kibali cha polisi kilicho waruhusu kufanya maandamano, na siku zote wamekuwa wanaandamana kwa kibali, jana kulikoni ? Hii nchi ni ya utawala wa sheria , sio nchi yakuongozwa kihuni huni tu
Alama za mtu mnafiki ni tatu. 1, anapo aminiwa hufanywa hiana, 2. Anapo ahidi hushindwa kutimiza ahadi, 3. Na anapo ongea husema uwongo. Hizi sifa zote CDM wanazo
Wewe uko chini, unakereketwa, huna ubavu wa kunielimisha mimi.Geniusbrain ndio jina murua , na lipo humu jamvini kuwaelimisha watu wote including ww mkuu
Ha ha haaaaaaaa yako wazi hayo , na hapa sio madrasa hiyo nikukuonyeshe kuwa tuna weledi wa nyanja zote , sio mtu unakuwa na kitu kimoja tu ambapo hata akili uwezo wakufikiri unakuwa mchache. Hapa kila nyanja nipo, hakuna kupigwa chenga , ww sasa una nyanja moja tu na ndio yawa rahisi kurubuniwa na wanasiasamadrassa channel.
Si kama hivi nakuelimisha kuwa hii nchi ni ya utawala wa sheria, jambo ambalo ulikuwa hulijuiWewe uko chini, unakereketwa, huna ubavu wa kunielimisha mimi.
Wanafiki na wauaji ni maadui wa Mungu duniani na ahera, na maandiko yanasema 'ukiua na ww uuwawe' ikiwa tu kifo hicho ni cha makusudi, ila kwa kifo cha kujitakia sheria hapo hai appy.Asante kwa tafsiri ya mtu mnafiki.
Ningependa ujibu swali bila kujali huyo mnafiki ni nani;
Maandiko matakatifu yanasemaje juu ya wanafiki na wauaji?
Mipaka nikufuata sheria, kwa mauaji ya jana CDM waweke hapa jamvini kibali cha polisi kilicho waruhusu kufanya maandamano, na siku zote wamekuwa wanaandamana kwa kibali, jana kulikoni ? Hii nchi ni ya utawala wa sheria , sio nchi yakuongozwa kihuni huni tu
Sheria ya EPA, Meremeta na Tangold. Hujui hata kwamba huwezi kukurupuka na kuzuia maandamano bila kutoa sababu za msingi kisheria, Unangangania kibali tu. Katika utawala wa kikaburu hungojei kibali, Ndio maana yalimpata Mandela, Halafu ikaja from prisoner to Mr. President. Huna cha kunielimisha. Mimi ni kamanda wa kisasa. Haya mambo yenu ya kukereketwa yanawahusu nyinyi,Si kama hivi nakuelimisha kuwa hii nchi ni ya utawala wa sheria, jambo ambalo ulikuwa hulijui
Soma magazeti ya leo , mliitwa viongozi wa CDM na mkapewa sababu , ila mkalazimisha wakulaumiwa ni nyie na si polisi. Kuhusu historia ya Mandela inahusikaje hapa? hapa ndio naanza kujua upeo wako wakupambanua mambo kuwa ni mdogo sana aisee. Kuhusu siasa , mie nimeanza siasa niko darasa la 2, ambapo kwa vyovyote ww utakuwa umeanza siasa baada yakumaliza pale ulipokomea Std 7, kwa maana hiyo basi mie ni Guru wa siasa hakuna pakukwepea kwangu mkuuSheria ya EPA, Meremeta na Tangold. Hujui hata kwamba huwezi kukurupuka na kuzuia maandamano bila kutoa sababu za msingi kisheria, Unangangania kibali tu. Katika utawala wa kikaburu hungojei kibali, Ndio maana yalimpata Mandela, Halafu ikaja from prisoner to Mr. President. Huna cha kunielimisha. Mimi ni kamanda wa kisasa. Haya mambo yenu ya kukereketwa yanawahusu nyinyi,
Soma magazeti ya leo , mliitwa viongozi wa CDM na mkapewa sababu , ila mkalazimisha wakulaumiwa ni nyie na si polisi. Kuhusu historia ya Mandela inahusikaje hapa? hapa ndio naanza kujua upeo wako wakupambanua mambo kuwa ni mdogo sana aisee. Kuhusu siasa , mie nimeanza siasa niko darasa la 2, ambapo kwa vyovyote ww utakuwa umeanza siasa baada yakumaliza pale ulipokomea Std 7, kwa maana hiyo basi mie ni Guru wa siasa hakuna pakukwepea kwangu mkuu
Ni ndoto za mchana kwa CDM kuingia ikulu sio tu 2015 hata 3000, haipo . Na usidhanie kuingia ikulu ni kwa kile kikaratasi chhako unacho tumbukiza kwenye boksi, ni zaidi ya hapo, sasa utatumia njia gani km hiyo itashindwa? CDM ni sawa na kuku wa kuchora, hadonoi, hali, hawiki na hafai kwa nyama wala mayai
Wanafiki na wauaji ni maadui wa Mungu duniani na ahera, na maandiko yanasema 'ukiua na ww uuwawe' ikiwa tu kifo hicho ni cha makusudi, ila kwa kifo cha kujitakia sheria hapo hai appy.
Well done polisi, msikubali watu wachache wenye uchu wa madaraka kumwaga damu za watanzania kwa mtaji wao wa kisiasa. Hakuna uhuru usio kuwa na mipaka !