Mkutano wa CHADEMA Kuwashukuru watu wa Mbeya

Mkutano wa CHADEMA Kuwashukuru watu wa Mbeya

Hapo muhuni sugu anawahutubia wahuni wenzake.

Am very happy to see new generation dominating ukawa meeting! Kama kweli tunataka mabadiliko ya mda mrefu we have to invest heavily kwa hiki kizazi kipya, big up chadema. Fananisha mikutano ya ukwana na ccm, utakuta ccm imetawwaliwa na wazee tena wabibi!
 
Kwa muziki huu munene,maccm lazima yatage mwaka huu!
 
Fresh ya shamba, Huo ni umbumbumbu uliopitiliza unataka aje kwenye familia yako au? Mh. Sugu ni mbunge wa Mbeya mjini na sio m/kiti wa mtaa wa Mamajohn kama unavyofikiria wewe. Hivi hata mamajohn unakufahamu kweli? na nani kakwambia SIDO ni kwa wahuni? Ushawahi kuhudhuria mkutano wowote wa Chadema au hapo mjini ? Huwa inafanyika wapi? Acha umamluki kiholo kitakuua bure.
 
hahahaha!!!! dah.. hii imenifurahisha sana. ni kama naangalia muvi!
attachment.php

CHADEMA uongo wenu na maigizo yenu yanadhihirika sasa.

Walinzi wote hao wa nini? kwa kiongozi anayependwa na watu?

NGUVU ya UMMA ingetosha kumlinda huyu" RAIS WA MBEYA" !
 
Nadhani kwa sasa CDM wanafanya vizuri kuliko wakati wowote ule!! saafi sana..!! Piga mifisadi hiyo mikina Lowassa!!
 
Dah!Jamaa kauchakaza mkoa mzima wa Mbeya,na kila alipohutubia ni hatariii,,naona aweza gombea jimbo lolote Mbeya na kushinda
 
hahahaha!!!! dah.. hii imenifurahisha sana. ni kama naangalia muvi!
attachment.php

huyo muhuni hapo nyuma ya SUGU ni msanii mwezie na SUGU aitwa C-MURDER, yeye na dereva wa hilo gari ajulikanaye kama BBG ambaye pia ni DJ wa SUGU ndio wanaomletea SUGU bangi na huwa wanavuta wote.

IMG_5011.JPG
 
  • Thanks
Reactions: Mpu
Back
Top Bottom