Mkutano wa CHADEMA Kuwashukuru watu wa Mbeya

Mkutano wa CHADEMA Kuwashukuru watu wa Mbeya

Sugu2.jpg
Sugu7.jpg
Sugu4.jpg
Sugu3.jpg
Sugu6.jpg
Sugu5.jpg
 
wera! wera! weraaaa!
mpaka kielewekeeeee!
HAKIKA NAJIVUNIA KUWA MWANACHADEMA.
 
Picha: Just picha: Kinacho endelea saizi mbeya na prof. Jay, mh. Mbilinyi na msigwa

Msigwa.jpg
Msigwa1.jpg
Msigwa2.jpg
Msigwa3.jpg
Msigwa4.jpg
 
habari zingine zinatia raha sana. Bia nyingine tafadhali!!!!
 
Ni Hatari hakika Kwa dizani hizi hata sisiem wangekuwa na roho ya paka Watajiuliza sana kama wana ubavu. Lazima kengere ya Kuachia Madaraka inasikika kwa karibu masikioni Mwao. Huyu Jamaa ni zaidi ya Mfalme kwenye Maeneo yake.
 
Hivi sugu bado anajihesabia ni mbunge wa mbeya? Wana mbeya hatuwezi kuongozwa na muhuni
 
Tieni hamasa ya kila mtu kujiandikisha katika daftari la Wapiga kura na kukipigia chama chao pendwa kura siku ya uchaguzi kwani hiyo ndiyo silaha ya mwisho!
 
Kikwete aliita wazee wa daa wakashindwa kuijaza Diamond Jubilee.ona audience ya sugu.
 
miccm tieni nguvu sehemu nyingine huku mbeya sio kuzuri kusema kweli
 
Back
Top Bottom