Hivi sugu bado anajihesabia ni mbunge wa mbeya? Wana mbeya hatuwezi kuongozwa na muhuni
Jina unalotumia lilishafariki kibiashara siku nyingi sasa sijajua kama ubongo wako bado ni mzima au unaelekea kule liliko jina unalotumia, Please change the name to update ur status, ni ushauri tu waweza kukomaa kama alivyokomaa Mahanga hapa Dar jana watu wakataka kumchapa kweli, proceed on counting the NUMBERS and TIME will WAKE U UP, Have a Day.