mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Uzuri tunajua lema katumwa kuyaongea haya. hivi kuna mpuuzi chadema zaidi ya mwenye kiti wa chadema baunsa?
Mkuu chadema inatoa mikopo kwa wana chama wote au ni Dr slaa tuu?
sisi wanancha chadema ndiyo tunayemtaka aendelee kuwa mwenyekiti hatumtaki huyo tahira wenu kama mnamtaka mchukueni kwenye chama cha mafisadi..
Mama zao watakuja kulike kazi ipo.Vifaranga kazini.
Mkuu naomba ujibu swali,hivi chadema saccos inatoa mikopo kwa wanachama wote?Unataka mkopo? anzisha thread ya huo ujinga wako..
Tunaomba uwakumbushe kutolea ufafanuzi mambo yafuatayo.
Chama kina kopesha wana chama wake?
Wanao kopeshwa wanarudisha na riba?
Ni lini chama kitajenga makao makuu na kuondokana na swala la kupangisha.
Ni kipengele kipi kwenye katiba ya chadema kina ruhusu mwanachama kumpiga tofali la kichwa mwanachama mwenzie anapo kosea?
Pesa wanazo changa wananchi zina kwenda wapi mbona huko mikoani hakuna ofisi?
Chama kipo tayari kuendelea kutonywa kinapo taka kufanyiwa ukaguzi wa pesa za wananchi?
cc Godbless J Lema
Henry Kilewo
Joshua nasary
wewe Mjinga Nenda kanunue computer used huna loloteMkuu naomba ujibu swali,hivi chadema saccos inatoa mikopo kwa wanachama wote?
Kweli zama za Chadema zimeisha mkutano wa Chadema umepata wachangiaji page 4 mpaka sasa.
ZeMarcopolo naomba unielimishe kazi ya kodi tunazokatwa na zinazopanda kila kukicha.Watu kila siku wanachangia harusi halafu anakuja mwanasiasa anawakataza kuchagia elimu!
Hivi elimu na harusi kipi muhimu?
Chadema sifuri kabisa...
Kweli zama za Chadema zimeisha mkutano wa Chadema umepata wachangiaji page 4 mpaka sasa.
Huwa sijibishani na tahira kama wewe.....Mkuu naomba ujibu swali,hivi chadema saccos inatoa mikopo kwa wanachama wote?
Mkuu sifa gani hizo tujuze nasi.zitto na wenzie wana sifa zote za kufukuzwa uwanachama ndiyo maana wanawaka sana kwenye vyombo vya habari
Kweli zama za Chadema zimeisha mkutano wa Chadema umepata wachangiaji page 4 mpaka sasa.