Mkutano wa CCM mtwara wadoda

Chadema wamuulize mrema. Hawawezi kuunda serikali wakati wabunge wenyewe wapo 23
 
Anamnanga rafiki yake waliokuwa wote cuf saivi yupo nccr. Hajamtaja jina ila lamfananisha na mwehu
 
Tambwe amemaliza kwa kutoa angalizo kuwa tusipoipenda ccm kuna siju tutaikumbuka
 
Shighela anasema wana wa mtwara hawahitaji mtu kutoka moshi kuwaeleza mambo ya maendeleo yao
Wenyewe wana mtwara wanajua.
 
Anasema kuna maendeleo ya elimu mtwara kwakuwa kuna chuo cha saint augustine ambacho isingekuwa sera ya ccm kisingekuwepo
 
Let leta kutoka nyumbani naona kama nipo home werawera wamakuwa wayao, wamakonde kuwakataa na siye tuliopo mbali tunafarijika. sasa tupiganie gas na mafuta yetu yaishie hukohuko kama viwanda wavilete hukohuko. na miundombinu tuihujumu.
 
kumbe ccm nao hawajui njia mpaka cdm wapite sasa cdm hyo moro na dom mje tukutane.
 
Shighela anasema wana wa mtwara hawahitaji mtu kutoka moshi kuwaeleza mambo ya maendeleo yao
Wenyewe wana mtwara wanajua.
Wananchi wangemuuliza yeye na mkapa wao amepeleka nini, tena kawakimbia kabisa anaishi tanga. Hawalioni hilo!
 
Back
Top Bottom