Katibu Mkuu na TRENI Kigomaa... Nape Nnauye alikuwa na Makamu wa Mwenyekiti Mwanza na Kagera huko kulikuwa sio kuzuri Nape Nnauye kamkimbia -- yuko na Katibu Mkuu ndani ya TRENI ya KIGOMA... LOL...
Ni wahuni wachache walienda kufanya vurugu, mie binafsi naingia iringa kuanzia June....
Lunyungu mie siji Kushangaa, nakuja kufanya kaziUmezoea ama kutuma ama magendo njoo ungana na mzee wa maji ya Ndanda baada ya wiki utakimbia .Pata data vyema maana wewe si hujui kwamba Tanzania haina maendeleo ? Fika weka ------ chini ujionee ndugu zako wanavyo shinda njaa kisa CCM imeshika utamu.
Du!!! Bado tu CCM wanakutumia kama condom? Lakini usijali, karibu watakutupa jalalani hivi karibuni!!Ni wahuni wachache walienda kufanya vurugu, mie binafsi naingia iringa kuanzia June....
Una maanisha DHAIFU au?
Lukosi usijidanganye. Madawa ya kulevya ni biashara mbaya sana. Na kama unadhania utapata pesha kwa kutoza kwenye MOT ni ujinga. Kwa nini nije kwenye kampuni uchwara wakati najua gerages kibao zinatoa MOTs za uhakika na gari lako linakuwa salama kuliko nyinyi mnaoendekeza njaa. Be careful my brother soon utaingia kwenye matatizo ambayo utajuta kuzaliwa ama kuja ulaya. Kila nyendo yako inafuatiliwa kwa karibu sana. Usishangae unapewa 24hrs za kuondoka. Pole mjinga wewe
Ndio tabu yenu, hamuwezi kuongea bila kutukana ,Du!!! Bado tu CCM wanakutumia kama condom? Lakini usijali, karibu watakutupa jalalani hivi karibuni!!
Kumbe kweli wewe ni kubwa jiinga! Kuongea bila kutukana ndio nini! Ama kutukana si kuongea ni kuimba? Maabox yanakumaliza akili bro!Ndio tabu yenu, hamuwezi kuongea bila kutukana ,
huyu mzee hakusoma alama za nyakati kabla ya kuzirudia siasa za ccm.!
Ndio tabu yenu, hamuwezi kuongea bila kutukana ,
Hivi ni lazima wafike mwaka 2015 hatuwezi kuamua mwaka huu ukawa wa mwisho kututawala maana tumechoka kutawaliwa tunataka kuongozwa....
Katibu Mkuu yuwapi? mbona zigo la ma.vitu analibeba Mangula menyewe
Hivi ni lazima wafike mwaka 2015 hatuwezi kuamua mwaka huu ukawa wa mwisho kututawala maana tumechoka kutawaliwa tunataka kuongozwa....
analysis nzuri gani sasa hiyo na wewe, huyu amepiga picha na kuzileta hapa tumpigie makofi kwa vile anatangaza kuanguka kwa status quo, asichokijua ni kwamba chadema haitovuka 2015 ikiwa salama, wakijitahidi sana watabaki na majimbo matano, nothing more! wabunge wao wanakesha wakizunguuka kwenye mradi wa M4c kwa vile kuna posho hawakai majimboni mwao, wapiga kura wanajuta kuwachagua hawa mavasco dagama, wanasema bora maccm yetu yanakaaga na sisi yakisikiliza na kutatua shida zetu kuliko hawa wanaharakatiMkuu huju mdau ameleta habari kwa kirefu na pia amefanya analysis nzuri sana. Ishu ya "kutangaza blog" haipo hapo, just picha ndo zimetoka na hilo jina, je ulitaka a-edit? Hacha kutumia samaburi kufikiri...