Mkutano wa CCM mkoani Iringa 'wafana'

Mkutano wa CCM mkoani Iringa 'wafana'

paul nsangu

Senior Member
Joined
Nov 23, 2012
Posts
179
Reaction score
32
Makamu mwenyekiti wa CCM taifa Philp Mangula amekuwa na wakati mugum sana mkoani Iringa katika kuwahutubia wale alioamini kuwa ni wanchama wa CCM katka viwanja vya Mwembetogwa mkoan hapa. Kiongoz huyo wa CCM (chichidodo) amejikuta akiwa na wakati mugmu sana pale aliposhindwa kutoa hoja za kimsingi zenye kutoa majibu ya kero za wananchi mkoan hapa.

Kiongoz huyo alisisitiza vikao vya ndan vya chama na kuzid kuwachosha wanairinga waliosombwa kutoka isman, kalenga ,kilolo, pawaga, dabaga na sehem zingnezo.

Katka kile kilichoonekana kuwachosha wananchi hao na wananchi kutokuwa na imani na Mangula na CCM yake. Aslimia kubwa ya watu waliohudhulia mkutano huo walionyesha alama ya vidole viwili wakionyesha imani yao kwa CHADEMA.

Mungu wangu chichidodo huyo alimanusula atoa mchoz jukwaan pale alipoona umati mkubwa ukimzomea kinyume cha mamtarajio yake , kwan hata wale waliovaa sare za kijan walioonyesha kumzomea zaidi.
AMA KWELI KIFO CHA CCM IRINGA KIMEFIKA.
 
Hakuna kiongozi yeyote ndani ya CCM atakayeweza kukitetea chama hicho kwa sasa. Ili kiongozi aweze kutetea maslahi ya wananchi na kupunguza kero zao, itabidi aongee lugha ya CHADEMA ambayo kimsingi inalenga katika kumtoa Mtanzania katika hali yake ya umaskini na aliyo nayo sasa. Kiongozi wa CCM atakayeanza kutetea wananchi atakuwa anakiasi chama chake.
 
Haya pamoja na tahadhari yangu ya jana , yamemkuta huyu Mzee wakati waliomwingiza kwenye matatizo wakipanda Treni kuelekea Kigoma , sasa sijui huyu atawalaumu ama atajilaumu yeye mwenyewe......
 
Wangemtemea mate badala ya kwenda Mtwara kutatua mgogoro wa gesi au kwenda morogogora kumfukuza mkuu wa wilaya aliyesababisha machafuko jana anaenda kuwapigia porojo wana Iringa anadhani bado yupo kwenye enzi za zidumu fikra za mwenyekiti wa chama
 
Huyu mzee nae sijui nani alimdanganya arudi tena kutumiwa na Hawa makijani si bora angeendelea tu kulima Nyanya jamani,watamuua tu mapema mzee awa watu hili jahazi lilishazama Mbona..........nahisi nae sahizi anajua alishachemka njaa haina adabu ila....
 
Akampe story mwenyekiti wake anayeshinda akipiga picha na watu wote maarufu duniani!
 
watu leo wakamata day waka si mchezo. Kuna vijana walikuwa wanasimika bendera bkwanzia Ipogoro hadi ofisini kwao. Wengine wa boda boda wakipata full tank kwa asas asubuhi. Mzee wawatu akajua chama kimashamiri kumbe watu wanamchora tu. CCM siyo Iringa tu haitakiwi popote.

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Na wale 200 waliopewa buku tano tano na kadi za CHADEMA kuwa wakazirudishe imekuaje!?? lazima zile ndevu zake za ndani ya pua ziwe mnvi
 
Hivi ni lazima wafike mwaka 2015 hatuwezi kuamua mwaka huu ukawa wa mwisho kututawala maana tumechoka kutawaliwa tunataka kuongozwa....[/QU mkuu hawa watatuongoza wakati hawapajui tunapotaka kwenda, ndio mana tunaenda kwa kudra za uelekeo wa upepo,.tukisubiri 2015 ni mbali coz watz weng vjijin hawajaelimika wakipewa khanga na kofia wataisaliti nguvu ya umma...up chadema.! Up and run
 
Na wale 200 waliopewa buku tano tano na kadi za CHADEMA kuwa wakazirudishe imekuaje!?? lazima zile ndevu zake za ndani ya pua ziwe mnvi

Hahahahahahaaa....
ImageUploadedByJamiiForums1359218686.110175.jpg
Kapewa zigo ahangaike nalo.
ImageUploadedByJamiiForums1359218734.467115.jpg
Wakati mwenzake anakula maphoto tu..
ImageUploadedByJamiiForums1359218798.417458.jpg
 
huyu mzee hakusoma alama za nyakati kabla ya kuzirudia siasa za ccm.!
 
Makamu mwenyekiti wa ccm taifa philp mangula amekuwa na wakati mugum sana mkoani iringa katika kuwahutubia wale alioamini kuwa ni wanchama wa ccm katka viwanja vya mwembetogwa mkoan hapa. Kiongoz huyo wa ccm (chichidodo) amejikuta akiwa na wakati mugmu sana pale aliposhindwa kutoa hoja za kimsingi zenye kutoa majibu ya kero za wananchi mkoan hapa. Kiongoz huyo alisisitiza vikao vya ndan vya chama na kuzid kuwachosha wanairinga waliosombwa kutoka isman, kalenga ,kilolo, pawaga, dabaga na sehem zingnezo.
Katka kile kilichoonekana kuwachosha wananchi hao na wananchi kutokuwa na imani na Mangula na ccm yake. aslimia kubwa ya watu waliohudhulia mkutano huo walionyesha alama ya vidole viwili wakionyesha imani yao kwa CHADEMA. Mungu wang chichidodo huyo alimanusula atoa mchoz jukwaan pale alipoona umati mkubwa ukimzomea kinyume cha mamtarajio yake , kwan hata wale waliovaa sare za kijan walioonyesha kumzomea zaidi.
AMA KWELI KIFO CHA CCM IRINGA KIMEFIKA.

2010, Sheihk Yahaya Hussein, Atakaye mpinga Kikwete atakufa, akafa yeye!

2010, Makamba "CHADEMA'' haiwezi kushinda urais au viti vya ubunge wakijitahidi sana watashindi kiti kimoja" Matokeo yake sote tuliyaona,

Sasa, Mwigulu Nchemba, Nape, Wassira na viongozi wengine wa CCM utabiri wao ni kwamba CHADEMA itakufa mwaka 2015, lakini nikionacho leo CCM ndo inawakati mgumu hata kuliko 2010!

KWELI CCM NAMBARI MOJA hasa kwa vioja na Ufisadi nani kama CCM, siku hizi hata nyimbo za John Komba sizisikii hadi uchaguzi tofauti na zamani, utasikia Peoplez.....................................................power!
 
Time will tell. Chama hata kikiwa kizuri kikikua sana kinachokwa. Ukiongezea na madudu mengi ya chama hiki kikongwe inahitaji nguvu ya ziada kushawishi umma. Watu hupenda fashion mpya.
 
Back
Top Bottom