Mkutano wa CCM kuzuiwa na Polisi?

Mkutano wa CCM kuzuiwa na Polisi?

The only solution sasa kwa lazima ni Ukawa waanzishe Radio ambayo itakua ina sikika kila pembe ya Tanzania. Bila ya chombo hicho ..kuna kazi mpaka 2020 jamaa haamini katika democrasy ya vyama vingi....sasa lazima mtaffte station ya radio ili kuwafikia watu

Hiyo redio halafu raisi wa mioyo ya chadema fisadi Lowasa ndiyo ataipa kibali cha kutangaza TZ nzima siyo?!
 
The only solution sasa kwa lazima ni Ukawa waanzishe Radio ambayo itakua ina sikika kila pembe ya Tanzania. Bila ya chombo hicho ..kuna kazi mpaka 2020 jamaa haamini katika democrasy ya vyama vingi....sasa lazima mtaffte station ya radio ili kuwafikia watu
itanyimwa kibali,
itaonekana ni chombo cha kichochezi,
itafungwa siku ya uzinduzi tu. Labda ulete ubunifu mwingine
 
CCM hawaishi sarakasi na vituko.
Watakuambia siasa ziishe watu wafanye Kazi.
Hivi siasa ni dhambi?
Hapo hapo wanasahau kuwa kuna watu wanalipwa mshahara kwa sababu ya siasa, mfano makatibu wakuu wa chama wilayani, mikoani na Taifa, wenyeviti wa vyama wilayani na mikoani na wengineo wengi.
 
,,,intelijensia yao itaonyesha kuwepo kwa aman so watakwambia hakuna haja ya kuuzuia na pia utasikia wamepata kibal cha kufanya ivo,,,,,,,,mikutano iliyopigwa marufuku ni ile inayomvua nguo malaika wetu asiyetakiwa kukosolewa na huo wa trh 23 ni wakupongeza kaz mwanzo mwisho na ile television yetu ya chama inayoendeshwa na watanzania wote itakuwa live mana siku hiyo kutakuwa hakuna gharama wala watu watakuwa hawafanyi kaz,,,,,na hi ndo Tanzania ya double standard
 
Wakikusikia watakutukana ujue.... Wamo humu ndani
 
Tunalipenda Jeshi letu sikivu, Jeshi lenye Nidhamu na hivyo tunaliomba liendelee na msimamo wake ule ule wa kuzuia mikutano ya vyama vya Siasa kama ilivyofanya kwa Chadema na ACT Wazalendo.

Tarehe 23 Julai 2016 CCM nao wametangaza Mkutano wao wa kumkabidhi Mwenyekiti chama, huu ni Mkutano wa kisiasa, ni Mkutano ambao hauna tofauti na ule wa ACT wa ndani ya Ukumbi au ule wa Sherehe za CHASO huko Dodoma Leo. Tunaamini Jeshi letu pendwa litapeleka Magari ya Washa Washa kwenda kuzuia Mkutano ule. Naam ni Mkutano wa Siasa!

Asante Jeshi letu pendwa....
hii imekaa vizuri sana.
 
Labda mbwa apige mswaki. CHAMADOLA-huo mkutano ni wa kuendeleza CHAMADOLA tunabadilisha mshika usukani tu na sio gia!!!!!! Mpo?
 
Mtoa mada una matatizo ya akili..... Kwa lugha nyepesi ni ufinyu wa akili na upeo
 
Mtoa mada una matatizo ya akili..... Kwa lugha nyepesi ni ufinyu wa akili na upeo
Nakushauri usiwe Unasoma ambavyo vimeandikwa na watu wasio na akili, vinginevyo na Wewe huna akili
 
Tunalipenda Jeshi letu sikivu, Jeshi lenye Nidhamu na hivyo tunaliomba liendelee na msimamo wake ule ule wa kuzuia mikutano ya vyama vya Siasa kama ilivyofanya kwa Chadema na ACT Wazalendo.

Tarehe 23 Julai 2016 CCM nao wametangaza Mkutano wao wa kumkabidhi Mwenyekiti chama, huu ni Mkutano wa kisiasa, ni Mkutano ambao hauna tofauti na ule wa ACT wa ndani ya Ukumbi au ule wa Sherehe za CHASO huko Dodoma Leo. Tunaamini Jeshi letu pendwa litapeleka Magari ya Washa Washa kwenda kuzuia Mkutano ule. Naam ni Mkutano wa Siasa!

Asante Jeshi letu pendwa....
Tunasubiri kwa hamu maana mwanzo walisema ni mikutano ya hadhara na maandamano. Sasa wameaanza kuzuia hata mikutano ya ndani kama tulivyoona ule wa ACT Wazalendo na mahafali ya CHASO kule Dodoma. Labda wao wamepanga kukutana kwenye mahandaki ya machimbo ya madini maana kama ni mkutano wa ndani inabidi watawanywe kwa mabomu na polisi kama walivyofanya kwa wengine na viongozi wa CCM wanaoitisha mkutano huo waswekwe ndani
 
Kama juzi ccm mwanza waliandama kisa diwani wao kawekewa sumu ofisini na rpc akasema hakuwa anafahamu kama ccm waliandamana, hata hiyo ya mkutano wao utafanyika salama tu na maisha yatasonga tu
Kweli mku mpaka sasa jeshi la polisi halina taarifa kuwa kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm hivyo mkutano utafanyika kama kawaida kwani intelijensia yao haijapata fununu za mkutano huo vinginevyo ungesha sikia makaripio muda huu wa kuwaambia watakao kaidi watakabiliana na vyombo vya dola. Tena huo ndio utakuwa mkutano mkubwa kabisa kuliko hata hii waliyoisambaratisha kwani wa kwao unahudhuriwa na viongozi au wajumbe kutokana kila kona ya nchi. Tusubiri tusikie utetezi wa polisi wa kwanini mkutano huo ni halali.
 
Katika watu hayawani wewe mmoja wapo kabla ya kukurupuka na hoja zako tazama dhamira ya mikutano hiyo ndo uje na hoja hii
Wewe ni mpumbavu na sijui unafanya nini JF,hamia Facebook na Instagram kuna watu wa kaliba yako kama Gigy Money
 
Back
Top Bottom