Mkutano wa CCM kuzuiwa na Polisi?

Mkutano wa CCM kuzuiwa na Polisi?

Mkuu manispaa waliwapiga biti watu wa bajaji na bodaboda kutoingia mjini na wakawajengea sehemu ili wakae hapo na kuwasubiria abiria hapo hapo, sasa ccm ktk kutafuta kick wameamua kuwa ni lazima bodaboda na bajaji waingie mjini sasa sijui huyo mkurugenzi atajisikiaje
Hahahaaha CCM watachomwa moto kuzimu daima....
 
Intelijensia ya tz ni kichekesho ukicompea na wenzetu
 
Mkuu bado siamini kama haya maamuzi mengine rais magufuli anayajua
Hakuna shaka yoyote kuwa hayo mambo yanayoendelea anayajua vizuri sana.

Kwa namna tunavyofahamu utendaji kazi wa Rais wetu kama hayo 'madudu' yanayofanywa na hao maRPC yangekuwa hayana baraka zake, bila shaka yoyote tungekuwa tayari tushasikia ameshawatumbua vigogo hao wa Polisi, kuanzia IGP na maRPC wake.
 
Tunalipenda Jeshi letu sikivu, Jeshi lenye Nidhamu na hivyo tunaliomba liendelee na msimamo wake ule ule wa kuzuia mikutano ya vyama vya Siasa kama ilivyofanya kwa Chadema na ACT Wazalendo.

Tarehe 23 Julai 2016 CCM nao wametangaza Mkutano wao wa kumkabidhi Mwenyekiti chama, huu ni Mkutano wa kisiasa, ni Mkutano ambao hauna tofauti na ule wa ACT wa ndani ya Ukumbi au ule wa Sherehe za CHASO huko Dodoma Leo. Tunaamini Jeshi letu pendwa litapeleka Magari ya Washa Washa kwenda kuzuia Mkutano ule. Naam ni Mkutano wa Siasa!

Asante Jeshi letu pendwa....
Watafuta au kusitisha agizo kwa muda.. believe me.... au watafanya maigizo ya na wao kutimuliwa na polisi
 
Tunalipenda Jeshi letu sikivu, Jeshi lenye Nidhamu na hivyo tunaliomba liendelee na msimamo wake ule ule wa kuzuia mikutano ya vyama vya Siasa kama ilivyofanya kwa Chadema na ACT Wazalendo.

Tarehe 23 Julai 2016 CCM nao wametangaza Mkutano wao wa kumkabidhi Mwenyekiti chama, huu ni Mkutano wa kisiasa, ni Mkutano ambao hauna tofauti na ule wa ACT wa ndani ya Ukumbi au ule wa Sherehe za CHASO huko Dodoma Leo. Tunaamini Jeshi letu pendwa litapeleka Magari ya Washa Washa kwenda kuzuia Mkutano ule. Naam ni Mkutano wa Siasa!

Asante Jeshi letu pendwa....
Mnapata pressure kwa mkutano wa ccm? Mbona wenzenu cuf wametangaza mkutano mkuu mlikuwa kimya?
Hakuna wa kuzuia mkutano wa ccm,na mnajua sana
 
f4a46b8c801665181a0c4c37fec9262c.jpg
"MAHAFARI? " au Mahafali? Inaelekea hata matangazo anaandika "mwenyewe" 😀
 
Hilo kwa polisi haliwahusu ndio mtawajua wale wenye double faces nchi hii ni kina nani. Hizi double standards kwa vyombo vya dola ni shida kwa siku zijazo. Sijui ni nani anayewaambia wakataze yale yaliyomo kwenye katiba. Basi tuambiwe moja kuwa nchi hii haina katiba na kila mtu afanye atakavyo.
 
Back
Top Bottom