Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,406
- 5,583
CCM hawaishi sarakasi na vituko.
Watakuambia siasa ziishe watu wafanye Kazi.
Hivi siasa ni dhambi?
Wanajua wanaongea na vilaza. Sijui ni Watanzania wangapi wanajua maana halisi ya siasa? Utakuta watu ikiwa ni pamoja na viongozi wakuu wanadai maendeleo hayahitaji siasa!