Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Wapi hao walio fanya mahafali hao mkuu?Nasikia Iringa wamefanya mahafali kama ya huko Dodoma ya cdm lakini hawajapigwa.!
Wapi hao walio fanya mahafali hao mkuu?Nasikia Iringa wamefanya mahafali kama ya huko Dodoma ya cdm lakini hawajapigwa.!
Alafu eti anataka aombewe!!Hata akiwa katika hali gani huyu siwezi kumombea kamwe.Mikutano ya vyama vya siasa nchini na maandamano vyote vimepigwa marufuku mpaka hapo hali ya usalama nchini itakapotengamaa, lakini cha kushangaza maandamano ya CCM RUKHSA na mikutano ya CCM ni RUKHSA kwao hawa CCM hali ya usalama nchini ni shwari kabisa, ila hali ya usalama haijatengemaa inapokuja kwenye vyama vya UKAWA.
Mpwa nilishawazoea hawa jamaa hawanipi shida hata kidogoKwa sababu tu kaandika kile ambacho wewe hukubaliani nacho basi akili yake si sawa. Duh! acha kukurupuka kama huna la maana la kuandika pita kimya kimya.
Hahahahaha Polisi hawakua na taarifa, I swear wangekua na taarifa wasingeruhusu namwambia, Jeshi liko imara na haliyumbishwi na SiasaNasikia Iringa wamefanya mahafali kama ya huko Dodoma ya cdm lakini hawajapigwa.!
Big AmenSilaha na nguvu za asie na nguvu ni MUNGU alie juu ya miungu yote
Tena Usifanye hilo kosa maana utakapomuombea atapata laana badala ya BarakaAlafu eti anataka aombewe!!Hata akiwa katika hali gani huyu siwezi kumombea kamwe.
Mkuu hapo naona unapoteza nguvu zako ambazo ungezitumia kutafutia sukari ukanywa na wanao, nchi hii hakuna wa kuzuia mkutano wa ccm ktk nchi hiiMkuu Niko tayari tubet, Jeshi halitakubali Mkutano wa kisiasa kufanyika, wameshatoa agizo, kwani hujaona vyama vingine vimezuiliwa? Si wamekaidi? Subiri uone, Acha ubishi Mpwa
Hahahahahaha si umeona? Polisi hawakua na taarifa ndio maana
Kwani siasa si ni kazi pia mkuu.....CCM hawaishi sarakasi na vituko.
Watakuambia siasa ziishe watu wafanye Kazi.
Hivi siasa ni dhambi?
Alafu eti anataka aombewe!!Hata akiwa katika hali gani huyu siwezi kumombea kamwe.
Ina maana Jeshi imara La Polisi litaruhusu Kweli? Acheni uongo bhana, Napinga kwa nguvu zote maana lilishasema kuwa halitawavumilia, iweje wawavumilie?Mkuu hapo naona unapoteza nguvu zako ambazo ungezitumia kutafutia sukari ukanywa na wanao, nchi hii hakuna wa kuzuia mkutano wa ccm ktk nchi hii
Ina maana Jeshi imara La Polisi litaruhusu Kweli? Acheni uongo bhana, Napinga kwa nguvu zote maana lilishasema kuwa halitawavumilia, iweje wawavumilie?Mkuu hapo naona unapoteza nguvu zako ambazo ungezitumia kutafutia sukari ukanywa na wanao, nchi hii hakuna wa kuzuia mkutano wa ccm ktk nchi hii
Wacha tumshirikishe na lizaboni kwanzaIna maana Jeshi imara La Polisi litaruhusu Kweli? Acheni uongo bhana, Napinga kwa nguvu zote maana lilishasema kuwa halitawavumilia, iweje wawavumilie?
Katika watu hayawani wewe mmoja wapo kabla ya kukurupuka na hoja zako tazama dhamira ya mikutano hiyo ndo uje na hoja hiiTunalipenda Jeshi letu sikivu, Jeshi lenye Nidhamu na hivyo tunaliomba liendelee na msimamo wake ule ule wa kuzuia mikutano ya vyama vya Siasa kama ilivyofanya kwa Chadema na ACT Wazalendo.
Tarehe 23 Julai 2016 CCM nao wametangaza Mkutano wao wa kumkabidhi Mwenyekiti chama, huu ni Mkutano wa kisiasa, ni Mkutano ambao hauna tofauti na ule wa ACT wa ndani ya Ukumbi au ule wa Sherehe za CHASO huko Dodoma Leo. Tunaamini Jeshi letu pendwa litapeleka Magari ya Washa Washa kwenda kuzuia Mkutano ule. Naam ni Mkutano wa Siasa!
Asante Jeshi letu pendwa....
Agizo lilikua linasemaje Mpwa, hebu weka nyama hapa hapa tujadiliLeo ccm mjini kigoma wamepingana na agizo la mkurugenzi wa manispaa ya kigoma na hakuna wa kuwakemea
Kweli Mimi ni hayawani ndio maana, Wewe ambaye sio hayawani usijibu hoja za hayawani vinginevyo na Wewe utakua huna tofauti na hayawani kwa kujadili mambo ya mahayani kama Wewe!!Katika watu hayawani wewe mmoja wapo kabla ya kukurupuka na hoja zako tazama dhamira ya mikutano hiyo ndo uje na hoja hii
Mkuu manispaa waliwapiga biti watu wa bajaji na bodaboda kutoingia mjini na wakawajengea sehemu ili wakae hapo na kuwasubiria abiria hapo hapo, sasa ccm ktk kutafuta kick wameamua kuwa ni lazima bodaboda na bajaji waingie mjini sasa sijui huyo mkurugenzi atajisikiajeAgizo lilikua linasemaje Mpwa, hebu weka nyama hapa hapa tujadili