nalipoti live so siwezi kuchambua sababu hakuna hoja iliyo letwa kuchambuliwa labda uchambue ninayo yaandika hapa. wewe hujui kureport live nini mkuu!?. mia
Nasikia wanamwomba Mungu, Mungu huyu huyu au Ni Lucifer wa freemasoon
nalipoti live so siwezi kuchambua sababu hakuna hoja iliyo letwa kuchambuliwa labda uchambue ninayo yaandika hapa. wewe hujui kureport live nini mkuu!?. mia
Hii aibu kwa kweli; nimeangalia hapa ninaamini kweli watu wana hofu ya Rais Kikwete kukataliwa. Ni mfumo mbaya na utazua manung'uniko zaidi.
Unajua kuwa kanisa katoliki + freemasons + waislamu wanaamini kuwa LUCIFER ndiye true son of GOD? angalia alama wanazotumia kama makanisani P na X, alama ya mwezi, kwa waislamu, Bikari kwa freemasons, zote hizo ni alama za jupiter ambaye ndiye LUCIFER mwenyewe.
are part of them?Wanaanza saa ngapi na miye nishuhudie?
Mkuu kanzi nzuri, ila nani anakulipa, au umejitolea kuripoti live kutano la wezi.mia
Riz hayupo mkuu?jenistha Muhagama ndo anaongoza na kusimamia kura za mwenyekiti kwenye chumba cha kuhesabia halafu wanarudisha mabox kwa ajiri ya kuchagua makamu mwenyekiti bara na zanzibar. mtindo ni ule ule kupiga kura kimkoa. mia
akili yako inapaswa kufanyiwa post moterm