simba walisajili vizuri yanga walisajili vizuri lakini wakapata kocha mbaya wakamfukuza wakaleta kocha mwingine sasa wanawapeleka puta simba. mimi ni simba mwenye mkia na mzee wa coastal unioni. anasema makamba. mia
makamba anapongezwa kwa hela kutokana na hotuba anayo toa. kasema mashehe wanapotuzwa wanasema wanakula jina la mtume naye akasema anakula jina la ccm hasa baada ya kustafu. mia
Daaah anawaponda sana wale wote wanaotaka kupigwa kwa kura za maruhani... Naona anakoti bible mpaka basi... Naona hapa kambi la lowassa linakazi huyu mzee anawanyuntruraizii mpaka baasiiiiii.....dahaa
Kama umesoma akili yangu vile! Sasa hivi kwa CCM usipoiponda chadema hupati kura na unaonekana kama msaliti. Ila kwenye huu uchaguzi wa CCM sijasikia neno ufisadi wanatumia zaidi neno rushwa. Sijui wanaogopa kutonesha vidonda?
Hii ni zama za vijina,hata biblia inasema,vijana ndo watakao ikomboa nchi.Hawa wazee huko Dodoma,wanakwenda kujipanga kupambana na CHADEMA,badala ya kujipanga kutatua matatizo ya wananchi.Zamani tulifikiri wazee ni kisima cha busara,lakini sasa hivi tunawaona jinsi walivyokosa staha na busara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.