Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Huyu Wasira si angestaafu analala sana bungeni.lol!
 
Kula za kimkoa ,hivo wajumbe wataopiga maruhani wapate kujulikana.
Very strategically.
 
mabox yameandikwa kimkoa, na makatibu wa mikoa wataitwa wapewe kura za wapiga kura wake. tutawaita kwa majina. anasema msimamizi wa uchaguzi anna makinda.
ameanza na katibu wa katavi, ruvuma, mtwara, smiyu, mara, tabora, pwani, mbeya, mjini, Lindi, magharibi, njombe, kilimanjaro, dar es salaam, kigoma, kagera, kusini unguja, mwanza, morogoro, tanga, singida, geita, dodoma, iringa, rukwa, manyara, shinyanga, arusha, kusini pemba, kasikazini pemba na kasikazini unguja. kura ni ya mwenyekiti tu kwanza. mia
 
Hotuba ya Makamba imemdhalilisha Mh Rais! Imekidhalilisha Chama Cha Mapinduzi! inaweza kuwa the WORST SPEECH EVER!!!
 
mabox yameandikwa kimkoa, na makatibu wa mikoa wataitwa wapewe kura za wapiga kura wake. tutawaita kwa majina. anasema msimamizi wa uchaguzi anna makinda.
ameanza na katibu wa katavi, ruvuma, mtwara, smiyu, mara, tabora, pwani, mbeya, mjini, Lindi, magharibi, njombe, kilimanjaro, dar es salaam, kigoma, kagera, kusini unguja, mwanza, morogoro, tanga, singida, geita, dodoma, iringa, rukwa, manyara, shinyanga, arusha, kusini pemba, kasikazini pemba na kasikazini unguja. kura ni ya mwenyekiti tu kwanza. mia

Chambua hoja acha kutukopia kizungumzwacho, wot is this.mia
 
makatibu ambao wajumbe wao wapo high table wawaletee karatasi za kura na mtakuja kuzichukua wenyewe. itakuwa aibu kama kura zitaitwa zimeharibika. anasema anna makinda. mia
 
Mzee Yusufu Makamba amefunguka na kuwachana vibaya wale wanaoutolea macho urais na wale ambao wanania ya kupiga kura za maruhani kwenye mkutano mkuu wa nane wa CCM, Kizota Dodoma.

Makamba amesema timu ya ushindi ndio hii na leo wanasajili kocha maana kikosi cha ushindi tayari leo anatafutwa kocha tu.

Amesifia pia taarifa ya serikali zimefanya vizuri.
 
Katika hali isiyo ya kawaida kamati inayoratibu uchaguzi wa mwenyekiti wa ccm kizota inayoongozwa na Anne makinda wameamua kuwagawa wapiga kura katika mikoa yao ili kuweza kuwatambua iwapo hawatampigia KIKWETE KURA ZA NDIO.

Hata Makamba senior alopokuwa anahutubia ameonesha hofu kubwa na kuwalaumu vikali wale wanaompinga Kikwete. Wanalazimisha wajumbe wote wapige kura za Ndio hata km wana mawazo tofauti. Hii ndio Demokrasia kina nape wanayosema upinzani ujifunze CCM?
 
Chambua hoja acha kutukopia kizungumzwacho, wot is this.mia

nalipoti live so siwezi kuchambua sababu hakuna hoja iliyo letwa kuchambuliwa labda uchambue ninayo yaandika hapa. wewe hujui kureport live nini mkuu!?. mia
 
Hii aibu kwa kweli; nimeangalia hapa ninaamini kweli watu wana hofu ya Rais Kikwete kukataliwa. Ni mfumo mbaya na utazua manung'uniko zaidi.
 
Bismillah rrahman rrahman rrahim, kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu ,naomba kura zenu za ndio kwa jakaya mrisho kikwete,aamen
 
Kamati ya uchaguzi ya CCM chini Ya Mh. Spika wameamua wapiga kura kupiga kura kimikoa. Naadhani hii ni kupunguza kura za maruhani. Wajumbe wanangáka Mkapa ananyamazisha!
 
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, kura zimepangwa kwa mikoa na wakati wa upigaji hakuna usiri hivyo yeyote mwenye nia ya kupiga kura ya hapana ataona aibu
 
Ili kuwadhibiti wanachama kumkataa jk,imebidi kura zipigwe kwa mikoa.Hii nikuwaogopesha wajumbe wasimkatae jk.Baada ya utaratibu huo kutangazwa wajumbe wameguna!
 
kura ikiharibika kwa bahati mbaya mpe katibu wako ailete hapa ibadilishiwe ili upige kura. anasema msimamizi wa uchaguzi anna makinda. zoezi la kupiga kura lishaanza. mia
 
Back
Top Bottom