Kwa bahati mbaya, mimi na vyama vitu mbali mbali. Sisi ni waumini wa mgombea binafsi si chama. Maana vyama vyote hata chako CDM ni matapeli tu
Kulikoni kujishtukia ndugu? Kwani ngwapole na gwapole ni mtu mmoja?
Kwa bahati mbaya, mimi na vyama vitu mbali mbali. Sisi ni waumini wa mgombea binafsi si chama. Maana vyama vyote hata chako CDM ni matapeli tu
mimi ni gwapoleKulikoni kujishtukia ndugu? Kwani ngwapole na gwapole ni mtu mmoja?
mimi ni gwapole
umekosea badala ya kuandika jina umebrush kwa vile JF haina ngwapole! Angalia ScreenshotBasi niliyemtaja miye ni ngwapole. Rejea kujiridhisha. Kulikoni kuwashwa washwa ndugu?
umekosea badala ya kuandika jina umebrush kwa vile JF haina ngwapole! Angalia Screenshot
Tatizo wewe mbishi kama kawaida yenu! Hapa JF hakuna member anaitwa @ngwapole nipo Mimi TU gwapole! Hii haihitaji AI kuthibitisha. Kitu ulichofanya ni link ya gwapole kuiweka katika andishi ngwapole.Ninakazia: Nalimlenga "ngwapole" makusudi-kaly wala si "gwapole" aja leo aondoka leo kama wapiga doria mitandaoni. Kwani ni wenzako?
Kupata political legitimacy.Mpaka sasa hivi najiuliza haya maigizo CCM wanafanya kote nchini ni ya kazi gani?
Kuna sheria yoyote ya nchi imevunjwa?Hapa picha ya ndege kuna dala dala za mbagala kawe,kinondoni,almost daladala za mjini kama 100 zimechota watu mjini zimewaleta huku nimejiuliza kibaha hakuna watu
Both teams to ScoreKesho tena mkutano wa Mbagala unaenda kujaza hao hao wa Picha ya Ndege😅😅
Tatizo wewe mbishi kama kawaida yenu! Hapa JF hakuna member anaitwa @ngwapole nipo Mimi TU gwapole! Hii haihitaji AI kuthibitisha. Kitu ulichofanya ni link ya gwapole kuiweka katika andishi ngwapole.
Una wazimuMkuu usilazimishe. Mimi ni mme wa mke mmoja na tayari kwisha oa!
Bila picha ni ngumu kumeza!Hapa picha ya ndege kuna dala dala za mbagala kawe,kinondoni,almost daladala za mjini kama 100 zimechota watu mjini zimewaleta huku nimejiuliza kibaha hakuna watu
Wacha waendelee kupiga punyeto ya kisiasaHapa picha ya ndege kuna dala dala za mbagala kawe,kinondoni,almost daladala za mjini kama 100 zimechota watu mjini zimewaleta huku nimejiuliza kibaha hakuna watu
Acheni watu wale ajira,japo za msimu kazi hamnaHapa picha ya ndege kuna dala dala za mbagala kawe,kinondoni,almost daladala za mjini kama 100 zimechota watu mjini zimewaleta huku nimejiuliza kibaha hakuna watu