dogojanja 87
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 882
- 213
hiki kigenge cha wahuni level zake ni NLD,SAU na UMD
CHADEMA mnanitisha na hizi tabia zenu za kifashisti yaani hamko madarakani tayari mnavichukia vyama vinavyoonekana kutoa ushindani kwenu sasa sipati picha pale mkiingia ikulu si ndiyo mtapiga marufuku mfumo wa vyama vingi?
we ni taahira namba moja tanzania
huyu punda mtu samson mwigamba na visaliti vyeenzie kama chagulani, zitto kabwe, mshumbuzi,msijaribu kuitukana chadema mwanza mtapewa aibu ya mwaka jaribuni muone.
Msula eve, hahahahaaaaaa..... Wee zianike tu hizo Chupi, Anika Chupi Tafadhali....
endelea kukipa promo chama makini cha ACT
Msaada act kirefu chake halali ni kipi? Na nan mwanzilishi?
Siasa za bongo hii kaka tabu tupu zote njaa tu na ndio maana i always say CCM will rule this country forever.....kwaiyo sasa kama chadema wanafanyia makanisani na wao wameamua kufania misikitini??
basi kazi ipo,tunataka tuone hapo nani mshindi
Siasa za bongo hii kaka tabu tupu zote njaa tu na ndio maana i always say CCM will rule this country forever.....
Umenena mkuu,wanagombana wao kwa wao ccm inashinda kiulaini.
Bwi bwi bwi...kimwigamba ndio kitahutubia?
CHADEMA mnanitisha na hizi tabia zenu za kifashisti yaani hamko madarakani tayari mnavichukia vyama vinavyoonekana kutoa ushindani kwenu sasa sipati picha pale mkiingia ikulu si ndiyo mtapiga marufuku mfumo wa vyama vingi?
ACT-Alliance of Crazy Traitors
mulisema watokwe waanzishe chao, sasa mbona maneno yanakuwa mengi? muwaache waende zao.