Mkutano Wa ACT Mwanza kesho

Mkutano Wa ACT Mwanza kesho

Status
Not open for further replies.
mulisema watokwe waanzishe chao, sasa mbona maneno yanakuwa mengi? muwaache waende zao.
 
Chadema mnalalamika nini sasa na ACT nyie wenyewe mliwafukuza mkawaita wasaliti leo tena mapovu yanawatoka tulieni ndiyo kwanza kumekucha.
 
Habari ya "mujini"ni kalenga na bunge la katiba.Hatuna time na hizi "diversion"
 
Hata shetwani hampingi shetani mwenzake, iweje ACT iipinge CCM??? au CIF???
 
CHADEMA mnanitisha na hizi tabia zenu za kifashisti yaani hamko madarakani tayari mnavichukia vyama vinavyoonekana kutoa ushindani kwenu sasa sipati picha pale mkiingia ikulu si ndiyo mtapiga marufuku mfumo wa vyama vingi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom