Nilipita saa nane kulikuwa hakuna watu......labda kama walikuja badae....
Leo kilikuwa na mkutano Wa chama cha ACT mawndeleo Iringa
hahahaah.....acha uhuniiNilipita saa nane kulikuwa hakuna watu......labda kama walikuja badae....
Weeee,,tuliokua kwenye mkutano ndo tumeona kilichotokea baada ya chiku kuanza kumshambulia mbunge msigwa kuwa msigwa ni shetani ,watu wamezomea na kuondoka hadi zzk alipoanza kubembeleza watu warudi
The young adult party
hongereni , mna bendera nyingi sana sikuttarajia mnazizidi samba na yanga
acha uongo,ni kweli walijaribu kuondoka wachache ila zzt hakuwabembeleza
acha uongo,ni kweli walijaribu kuondoka wachache ila zzt hakuwabembeleza
Bendera ni nyingi kuliko wanachama