Mkutano Wa ACT Iringa Chiku abwao atisha

Mkutano Wa ACT Iringa Chiku abwao atisha

Aliyeanzisha mada join date August 8th.... ha ha ha si ajabu ni Chiku Ubwabwa mwenyewe na nafsi ikamsuta hata akashindwa kuandika ----- !!
 
niliweka thredy hapa kuhusu mkutano wa act ambapo madreva boda boda waliandamana kudai hela za maandamano hadi katika ofisi za ACT walisikika wakipiga kelele "tunataka hela zetu" lakin nawashangaa mods waliutoa uzi wangu

Walihofia mgongano wa kimaslahi, kwakuwa zzk ni mteja mzuri kwenye matangazo ya chama chake na biashara yake, na hili nililisema kwenye post yangu moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom