Mkutano Wa ACT Iringa Chiku abwao atisha

Mkutano Wa ACT Iringa Chiku abwao atisha

mtetezi;- Duh kweli ndg uko kimkakaki ok kalale uamke kesho tumzungumzie Lowasa maana kwa foleni mabalozi wanapumzika
 
Jana nikiwa pale Kihesa Stend nikisubiri basi gari ya matangazo ilipita ikitangaza watu wakawa wanaonesha vidole viwili
 
niliweka thredy hapa kuhusu mkutano wa act ambapo madreva boda boda waliandamana kudai hela za maandamano hadi katika ofisi za ACT walisikika wakipiga kelele "tunataka hela zetu" lakin nawashangaa mods waliutoa uzi wangu

Mods si wale wale hii nchi inamkwamo ktk kila sector
 
Hebu fikiri tumekaa jamvini kiukweli alafu unaleta taarifa fupi Kama hii tungeku .........!!!
 
Jana nikiwa pale Kihesa Stend nikisubiri basi gari ya matangazo ilipita ikitangaza watu wakawa wanaonesha vidole viwili
kwa mujibu wa maandiko matakatifu laana ya usaliti ni mbaya sana ! act itafukuzwa kila mahali kama nzi , pamoja na chooni kuwa maskani ya nzi lakini akikutwa pia anatimuliwa , akibisha hata xpell itatumika .
 
Naipenda CHADEMA Sanaa Ila kwa Leo A.C.T wametishaaa Sanaa sikutegemea kama wangefanya vizuri kiasi kile coz ni chama kipya.. Nilipata mshtuko baada ya kuanza kumwaga sere zao pale kiukweli zina mashiko kwelinwale ni wazalendo kama wanavyojiita..Baada ya miaka kadhaa ACT kitakuja kuwa chama Cheney wafuasi wengi kwa zote sera zao labda uape tu kutokuwaelewa hivi hivii lazima utatafuta kadi tu..!NI kweli ABWAO ni mzoefu kakomaa kisiasa. Waliokuwepo wameshuhudia uwezo wake..! Ingawa kila mtu atasema yake.
 
Shangazi kazoea kupewa viti maalumu huyo.........mwambieni akafagilie kabuli la mzee afla masoudi.......2015
 
Karama Kaila hebu tuwekee picha maana hiyo uliipiga pale katikati palipokuwa na "tuwatu" pia elezea hali halisi iliyotokea? usifiche kitu mnamtukana Msigwa mpaka Bosi wenu anaona aibu anaamua kuwashusha jukwani.
 
Mleta mada sijui amekula maharage ya wapi yuleee
 
hahaha mkuu acha uongo
 

Attachments

  • 1439151680401.jpg
    1439151680401.jpg
    24.3 KB · Views: 223
Wana cdm Ndio maana mnaitwa nyumbu juzi juzi el mlikuwa mnamita fisadi papa Leo amekuwa kamanda.mtu mwenyewe yuko ana vibrate . na mbaya zaidi kamkimbiza kamanda slaa. Nyie ni popo kweli
 
UKAWA acheni uoga. Wakati nyie mking'ang'ana na propaganda za kusafisha magamba kwenye maTV mwenzenu ZZK anavuna wanachama wenu taaratibu kimya kimya. Mkizinduka mtaanza kusema CCM amewaibia kura, maana ndi kisingizio mlichoandaa mtakapoanguka October.

Lakini kwanini hautaki kuelewa?unaambiwa kwamba wamezomewa na wananchi sio ukawa.Elewa basi.
 
Jana nikiwa pale Kihesa Stend nikisubiri basi gari ya matangazo ilipita ikitangaza watu wakawa wanaonesha vidole viwili

Huo muda nami nilikuwa kihesa, nakumbuka hako kagari kalikuwa kama kastaret flani hivi?! Poleni ACT Wachumiatumbo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom