Mkutano Wa ACT Iringa Chiku abwao atisha

Mkutano Wa ACT Iringa Chiku abwao atisha

Weka picha uthibitishe sio maneno matupu.Msigwa atosha Iringa

Kama kawaida yao na leo wamezonewa ile mbaya,sasa mbunge umeenda kuomba kura unazomewa unategemea nini tena hapo!
 
mrsabby; Sema yaliyojiri inasemekana kazomewa sana,unafiki una kikomo,au anatafafuta damu changa fail Oct 25 Karibu
 
Zitto anaujasiri wa ajabu anamalengo ya muda mrefu aache kiburi
 
acha uongo,ni kweli walijaribu kuondoka wachache ila zzt hakuwabembeleza
Ndio maana tunasema hao ni wapinzani mabwege,sasa wanaitisha mkutano kumtukana mbunge wa upinzani,hivi Abwao so alisema mbaya wake ni Luk uvi sasa kuingia ACT Msigwa ndio mbaya wake sasa?
 
msikate tama tangazeni hivyohivyo mtakuja eleweka miaka inavyoenda chama si mchezo ndugu zangu kuna gharama sisizokuwa na returns zinazoshikika

Naona kuzomewa kungekuwa kunawacha ngeu zzk sura ingekuwa imejaa ngeu
 
Kumbe bado act mpo nilikuwa cjui ongela,
make tujivyama tudogo tugodo kama act mtasidia taifa miaka 20 ijayo endapo hamtasalitiana
 
Weeee,,tuliokua kwenye mkutano ndo tumeona kilichotokea baada ya chiku kuanza kumshambulia mbunge msigwa kuwa msigwa ni shetani ,watu wamezomea na kuondoka hadi zzk alipoanza kubembeleza watu warudi

Tunakushukuru sana kamanda kwa kutupatia kilichowapata hao wapinga mageuzi,naamini hawata kuja tena kuwachezea wana wa iringa
 
Huyo ni kibaraka wa CCM hata hivyo akija Lowassa hapo kumshika mkono Msigwa basi ujue biashara kwa upande wa Mwakalebela na Abwao itakuwa ndo ishawakata.
 
UKAWA acheni uoga. Wakati nyie mking'ang'ana na propaganda za kusafisha magamba kwenye maTV mwenzenu ZZK anavuna wanachama wenu taaratibu kimya kimya. Mkizinduka mtaanza kusema CCM amewaibia kura, maana ndi kisingizio mlichoandaa mtakapoanguka October.
 
niliweka thredy hapa kuhusu mkutano wa act ambapo madreva boda boda waliandamana kudai hela za maandamano hadi katika ofisi za ACT walisikika wakipiga kelele "tunataka hela zetu" lakin nawashangaa mods waliutoa uzi wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom